Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM WILAYA YA ILALA YAVUNA MADIWANI SITA WA CHADEMA

 Aliyekuwa Diwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Kata ya Segerea Edwin Mwakatobe  akikabidhi kadi ya CHADEMA jana  19/2020 kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilala Ubaya Chuma  (PICHA NA HERI SHAABAN)
Wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Ilala wakifatilia kikao cha Kamati ya siasa Juni 19/2020(PICHA NA HERI SHAAABAN)
 Na Heri Shaaban

CHAMA CHA Mapinduzi CCM Wilaya ya Ilala kimepokea waliokuwa madiwani sita wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)TLP na ACT katika kikao...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Chadema yavuna wanachama 130 wa CCM.

na Bryceson Mathias, Korogwe vijijini.

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika mkutano wake uliofanyika Korogwe hivi karibuni, kimevuna wanachama 130 wa Chama cha Mapinduzi (CCM), huku kikimtolea uvivu Mkuu wa Wilaya hiyo, Mrisho Gambo, kikimtaka aacha ofisi avae nguo za CCM, kipambane nae kwenye majukwaa ya siasa.

Kilichomponza Gambo, ni Kauli aliyoitoa kwenye Mkutano wa hadhara wa Katibu wa CCM, Abdulahman Kinana, uliofanyika Mombo, ambapo alidai, aliwapa Chadema Kibali cha...

 

11 years ago

Michuzi

Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Meatu arudi CCM pamoja na viongozi wengine wa Chadema

 Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu Kimwaga Jackson Ndibo akirudisha vitu vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa viongozi wa CCM baada ya kurudi rasmi.  Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akikabdihi kadi ya CCM kwa  moja ya viongozi wa Chadema Meatu waliorudi CCM.  Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akihutubia wakazi wa wilaya ya Meatu na kuwahakikishia wananchi hao CCM imejipanga...

 

11 years ago

Mwananchi

Madiwani wawili Chadema wahamia CCM

Madiwani wawili wa Chadema kutoka Kata ya Ngokolo, Sebastian Peter na wa Kata ya Masekelo, Zacharia Mfuko zilizopo Shinyanga Mjini wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga CCM.

 

11 years ago

Habarileo

Madiwani waliohama Chadema waingia CCM

MADIWANI waliojiuzulu na kuamua kuondoka katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao ni Sebastiani Peter na Zacharia Mfuko wamejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) mbele ya Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na uongozi wa mkoa wa chama hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

CCM, Chadema kupambana leo uchaguzi wa madiwani

Uchaguzi wa madiwani katika Kata za Malindo wilayani Rungwe na Santiliya katika Wilaya ya Mbeya Vijijini, unafanyika leo.

 

9 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Wazazi (CCM), wilaya ya Ilala mgeni rasmi kwenye mahafali ya shule ya awali ya St Andrew’s

Joseph Zablon
Ufisadi na vitendo vingine vya wizi na ubadhirifu wa mali za umma nchini unachangiwa kwa kiasi kikubwa na malezi mabaya wanayoyapata watoto toka ngazi ya familia na tatizo linakuwa kubwa zaidi anapoingia katika ajira.
Akizungumza wakati wa mahafali ya saba ya Shule za St. Andrew’s zilizopo Tabata Kisukuru, jijini Dar es Salaam juzi, Mwenyekiti wa Wazazi (CCM), wilaya ya Ilala, Meltus Magungu alisema tabia mbaya za majumbani iiwa ni pamoja na choyo uwa na athari mbaya...

 

10 years ago

Vijimambo

PHILIP MANGULA AONGOZA MKUTANO WA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM WILAYA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM

 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philip Mangula (kushoto), akihutubia katika mkutano wa wajumbe wa Halmshauri kuu ya CCM, matawi, wenyeviti wa serikali za mitaa na wajumbe wao na mabalozi wa chama hicho wilaya ya Ilala, uliohusu utekelezaji wa ilani na mchakato wa uchaguzi mkuu uliofanyika Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilala, Asaa Simba. Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya...

 

5 years ago

Michuzi

Chadema wadai kutostushwa na madiwani wao kutimkia CCM


Na Amiri kilagalila,Njombe Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Njombe kimesema hakijashtushwa na taarifa za Madiwani wao watatu wa wilaya ya Makete kutangaza kuhamia Chama cha Mapinduzi CCM kwa kuwa walishakuwa na taarifa za kuwa wamekuwa wakitishwa kwa muda mrefu. Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe Rose Mayemba amesema kuwa licha ya madiwani hao kutotoa sababu hizo hadharani lakini kama chama kilishapata taarifa hizo kwa muda mrefu kwamba wamekuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani