Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema yavuna wanachama 130 wa CCM.

na Bryceson Mathias, Korogwe vijijini.

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika mkutano wake uliofanyika Korogwe hivi karibuni, kimevuna wanachama 130 wa Chama cha Mapinduzi (CCM), huku kikimtolea uvivu Mkuu wa Wilaya hiyo, Mrisho Gambo, kikimtaka aacha ofisi avae nguo za CCM, kipambane nae kwenye majukwaa ya siasa.

Kilichomponza Gambo, ni Kauli aliyoitoa kwenye Mkutano wa hadhara wa Katibu wa CCM, Abdulahman Kinana, uliofanyika Mombo, ambapo alidai, aliwapa Chadema Kibali cha...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

CCM yavuna wanachama wapya Kibao Kasulu

-Zaidi ya watu 700 wajiunga na CCM akiwemo aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF Kata ya Rungwe mpya.

-Asema mtaji wa vyama vya Upinzani ni matatizo ya wananchi na hawasaidii katika kuyatatua badala yake wanataka wananchi waendelee kuumia ili wao wajijenge kisiasa .

ccm kasulu

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Nyenge  kata ya Kurugongo wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma ikiwa sehemu ya ziara yake mkoani humo.

 Mbunge wa Viti Maalum Ndugu Josephine Gezabuke akihutubia...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kijiji cha Wangama, Fred Mgata (kulia) akikabidhi kadi za chyama hicho kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga baada ya yeye na wanachama wengine 50 wa Chadema kuamua kukihama na kujiunga CCM katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika  katika Kijiji hicho kilichopo Kata ya Luhota, Iringa Vijijini leo. Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chadema ambaye ni mzaliwa wa kijiji hicho,  Grace Tendega alikuwa chini ya...

 

5 years ago

Michuzi

CCM WILAYA YA ILALA YAVUNA MADIWANI SITA WA CHADEMA

 Aliyekuwa Diwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Kata ya Segerea Edwin Mwakatobe  akikabidhi kadi ya CHADEMA jana  19/2020 kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilala Ubaya Chuma  (PICHA NA HERI SHAABAN)
Wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Ilala wakifatilia kikao cha Kamati ya siasa Juni 19/2020(PICHA NA HERI SHAAABAN)
 Na Heri Shaaban

CHAMA CHA Mapinduzi CCM Wilaya ya Ilala kimepokea waliokuwa madiwani sita wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)TLP na ACT katika kikao...

 

9 years ago

GPL

PSPF YAVUNA WANACHAMA VOWET

Meneja wa Mfuko wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS), wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mwanjaa Sembe, (aliyesimama), akiwaongoza wanachama wapya waliojiunga na mpango huo, wakati wa warsha ya siku moja iliyowakutanisha maafisa na mabalozi wa PSPF, na wanakikundi wa Sauti ya Wanawake Wajasiriamali Tanzania, (VOWET), kwenye ukumbi wa Belmonte jijini Dar es Salaam, Oktoba 13, 2015. Balozi wa PSPF, Mwanamitindo wa Kimataifa aishie...

 

10 years ago

Mwananchi

ACT yavuna wanachama wapya 6,000

Bariadi. Chama cha ACT-Wazalendo kimehitimisha ziara katika mikoa 10 nchini huku kikijigamba kuingiza wanachama wapya zaidi ya 6,000.

 

11 years ago

Tanzania Daima

PSPF yavuna wanachama 500 Sabasaba

“NIMEJIUNGA kuwa mwanachama wa hiari katika Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kwa kuwa kuna utaratibu baada miezi 12 unaweza kuchukua fedha zako,” anaanza kueleza Msanii, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ alipozungumza na...

 

10 years ago

Mwananchi

Chawamamu yavuna wanachama wapya 414

Chama cha Watafiti wa Malaria Sugu, Ukimwi na Mazingira Tanzania (Chawamamu) Mkoa wa Singida, kimesajili waganga na wakunga wa tiba asili 414.

 

9 years ago

Michuzi

PSPF YAVUNA WANACHAMA KUTOKA KIKUNDI CHA WAJASIRIAMALI WA VOWET


Meneja wa Mfuko wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS), wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mwanjaa Sembe, (aliyesimama), akiwaongoza wanachama wapya waliojiunga na mpango huo, wakati wa warsha ya siku moja iliyowakutanisha maafisa na mabalozi wa PSPF, na wanakikundi wa Sauti ya Wanawake Wajasiriamali Tanzania, (VOWET), kwenye ukumbi wa Belmonte jijini Dar es Salaam, Oktoba 13, 2015. (Picha na K-VIS MEDIA/Khalfan Said)
Na K-VIS MEDIA

MFUKO wa Pensheni wa PSPF, umezidi k”kupenya’ kwenye sekta...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani