Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yavuna wanachama wapya Kibao Kasulu

-Zaidi ya watu 700 wajiunga na CCM akiwemo aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF Kata ya Rungwe mpya.

-Asema mtaji wa vyama vya Upinzani ni matatizo ya wananchi na hawasaidii katika kuyatatua badala yake wanataka wananchi waendelee kuumia ili wao wajijenge kisiasa .

ccm kasulu

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Nyenge  kata ya Kurugongo wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma ikiwa sehemu ya ziara yake mkoani humo.

 Mbunge wa Viti Maalum Ndugu Josephine Gezabuke akihutubia...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA APOKELEWA KWA KISHINDO WILAYANI KASULU LEO,AKAGUA MRADI MKUBWA WA MAJI NA KUPOKEA WANACHAMA WAPYA 500

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa  watu katika Kijiji cha Nyenge, wakati wa ziara yake wilayani Kasulu leo ya kuimarisha  uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa  kufuata Ilani ya CCM. Kinana ambaye tayari ameshafanya ziara  mkoani Rukwa, hivi sasa ameanza ziara ya siku tano mkoani Kigoma.  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwa na Baadhi ya Wanachama wapya waliojunga na CCM na kukabidhiwa kati.Kutoka kulia ni Katibu wa CHADEMA-SUA ...

 

10 years ago

Mwananchi

ACT yavuna wanachama wapya 6,000

Bariadi. Chama cha ACT-Wazalendo kimehitimisha ziara katika mikoa 10 nchini huku kikijigamba kuingiza wanachama wapya zaidi ya 6,000.

 

10 years ago

Mwananchi

Chawamamu yavuna wanachama wapya 414

Chama cha Watafiti wa Malaria Sugu, Ukimwi na Mazingira Tanzania (Chawamamu) Mkoa wa Singida, kimesajili waganga na wakunga wa tiba asili 414.

 

9 years ago

Michuzi

PPF YAVUNA WANACHAMA WAPYA KWENYE WIKI YA WAFANYAKAZI WA AIRTEL, (AIRTEL HR WEEK)

 Mfanyaakzi wa Airtel, (kulia), akijaza fomu ya kujiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari (Wote Scheme), wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakati wa ufunguzi wa wiki ya Wafanyakazi wa Airtel, makao makuu ya kampuni hiyo ya simu za mikononi, jijini Dar es Salaam, Septemba 26, 2015.

 Wafanyakazi wa Airtel, wakipatiwa maelezo juu ya huduma mbalimbali zitolewazo na PPF, wkati wa wiki ya wafanyakazi wa kampuni hiyo ya simu makao makuu ya Airtel, Morocco jijini Dar es Salaam, Septemba 26, 2015.

 Meneja...

 

10 years ago

Vijimambo

Chadema yavuna wanachama 130 wa CCM.

na Bryceson Mathias, Korogwe vijijini.

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika mkutano wake uliofanyika Korogwe hivi karibuni, kimevuna wanachama 130 wa Chama cha Mapinduzi (CCM), huku kikimtolea uvivu Mkuu wa Wilaya hiyo, Mrisho Gambo, kikimtaka aacha ofisi avae nguo za CCM, kipambane nae kwenye majukwaa ya siasa.

Kilichomponza Gambo, ni Kauli aliyoitoa kwenye Mkutano wa hadhara wa Katibu wa CCM, Abdulahman Kinana, uliofanyika Mombo, ambapo alidai, aliwapa Chadema Kibali cha...

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM (TAIFA) AWAAPISHA WANACHAMA 367 WAPYA WA CCM WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA


 Mwenyekiti  wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah  Bulembo aliyevaa taji shingoni akicheza ngoma ya asili katika kijiji cha Kingirikiti Wilaya ya Nyasa wakati wa Ziara yake siku ya jana.  Mwenyekiti  wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah  Bulembo akiwaapisha wanachama wapya wa  CCM  Kikundi cha akina mama  kikitoa burudani.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Mwananchi

CCM yazoa wanachama wapya wilayani Temeke

>Watu 250 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia  Tawi la Kigunga B, Kilakala wilayani Temeke jijini Dar es salaam.

 

11 years ago

Michuzi

Shamra shamra za kupokea wanachama wapya wa CCM ELIMU-UDOM Makao Makuu ya CCM Dodoma

 Chama Cha Mapinduzi CCM kimevuna Wanachama wapya Zaidi ya mia moja kutoka chuo Kikuu UDOM.Wanachama hao wapya  ambao walipokelewa jana na kupe wakadi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum Mhe.Prof.Mark Mwandosya (Prof.Mwandosya ni Mlezi wa Tawi hilo) katika Hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM wamejiunga na tawi la CCM-Elimu (School of Education) UDOM Pichani Mhe.Prof.Mark Mwandosya akizungumza na wanachama wapya wa CCM Tawi la Elimu-UDOM katika Ukumbi wa NEC...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jerry Silaa azoa wanachama wapya wa CCM 323 wilayani Bariadi

IMG_2727

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Jerry Silaa katika siku ya nane ya ziara yake jana amezoa wanachama wapya 323 kwenye kitongoji cha Imalilo kata ya Bunamhala wilayani Bariadi. unnamed (1) unnamed (2) unnamed (3)

 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani