Shamra shamra za kupokea wanachama wapya wa CCM ELIMU-UDOM Makao Makuu ya CCM Dodoma
.jpg)
Chama Cha Mapinduzi CCM kimevuna Wanachama wapya Zaidi ya mia moja kutoka chuo Kikuu UDOM.Wanachama hao wapya ambao walipokelewa jana na kupe wakadi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum Mhe.Prof.Mark Mwandosya (Prof.Mwandosya ni Mlezi wa Tawi hilo) katika Hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM wamejiunga na tawi la CCM-Elimu (School of Education) UDOM Pichani Mhe.Prof.Mark Mwandosya akizungumza na wanachama wapya wa CCM Tawi la Elimu-UDOM katika Ukumbi wa NEC...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
11 years ago
VijimamboShamra shamra za Mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salum Mwalimu
11 years ago
Dewji Blog14 Jun
Shamra shamra za ufunguzi wa ZIFF 2014 ndani Ngome Kongwe Unguja
Jukwaa litakalotumika kwa masuala ya burudani kuanzia leo Juni 14 hadi 22 ndani ya Ngome Kongwe katika ukumbi wa Mambo Club linavyoonekana muda huu kwenye hatua ya mwisho kuelekea ufunguzi rasmi saa moja jioni.(Picha na Zainul Mzige modewjiblog)
Opening Night: Mandela: Long Walk to Freedom
June 14th 20:20 Old Fort Ampitheatre
Opening Night Concert:
June 14th Mambo Club
Tamaduni Music (Tanzania) followed by BODY, MIND & SOUL (Malawi)
Mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima, Andrew Chale...
10 years ago
Dewji Blog25 Jun
Komredi Kinana alakiwa kwa shamra shamra za sungusungu jimbo la Kwimba
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Kikundi cha Ulinzi wa Jadi cha Sungusungu, alipowasili katika Kijiji cha Hungumalwa njaia panda ya Mwamashinga alipoanza ziara Jimbo la Kwimba, mkoani Mwanza, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
Komredi Kinana akivishwa kofia ya jadi ya Sungusungu wakati wa mapokezi wilayani Kwimba.
10 years ago
VijimamboShamra Shamra za Kusherehekea Ushindi wa Majimbo ya Wilaya ya Amani Unguja
11 years ago
GPL
SHAMRA SHAMRA ZA UFUNGUZI WA ZIFF 2014 NDANI NGOME KONGWE UNGUJA
10 years ago
GPLKOMREDI KINANA ALAKIWA KWA SHAMRA SHAMRA ZA SUNGUSUNGU JIMBO LA KWIMBA
10 years ago
Michuzi27 Apr
MNUSO WA UZINDUZI WA SHAMRA SHAMRA ZA MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA WAFANA JIJINI DAR

11 years ago
Michuzi.jpg)
Shamra shamra za Mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu.
.jpg)