Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOMREDI KINANA ALAKIWA KWA SHAMRA SHAMRA ZA SUNGUSUNGU JIMBO LA KWIMBA‏

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Kikundi cha Ulinzi wa Jadi cha Sungusungu, alipowasili  katika Kijiji cha Hungumalwa njaia panda ya Mwamashinga alipoanza ziara Jimbo la Kwimba, mkoani Mwanza, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi pamoja na kusikiliza  kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
 Komredi Kinana akivishwa kofia ya jadi ya Sungusungu wakati wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Komredi Kinana alakiwa kwa shamra shamra za sungusungu jimbo la Kwimba

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Kikundi cha Ulinzi wa Jadi cha Sungusungu, alipowasili  katika Kijiji cha Hungumalwa njaia panda ya Mwamashinga alipoanza ziara Jimbo la Kwimba, mkoani Mwanza, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi pamoja na kusikiliza  kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

 Komredi Kinana akivishwa kofia ya jadi ya Sungusungu wakati wa mapokezi wilayani Kwimba.

 

10 years ago

GPL

WANANCHI WA MKOA WA LINDI WAJITOKEZA KWA WINGI USIKU WA SHAMRA SHAMRA ZA TWENDE NA MEMBE‏

Shamra shamra za kutangaza nia ya kuwania urais zaendelea kunoga mjini Lindi ambapo leo June 6 kuamkia June 7, 2015 ambapo Mheshimiwa Bernard Membe atakuwa anatangaza nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015. Wananchi wamejitokeza kwa wingi huku msanii mzee Yusuph na kikundi cha ngoma ya Deda wakitoa burudani ya kijadi.… ...

 

11 years ago

GPL

SHAMRA SHAMRA ZA UFUNGUZI WA ZIFF 2014 NDANI NGOME KONGWE UNGUJA‏

Jukwaa litakalotumika kwa masuala ya burudani kuanzia leo Juni 14 hadi 22 ndani ya Ngome Kongwe katika ukumbi wa Mambo Club linavyoonekana muda huu kwenye hatua ya mwisho kuelekea ufunguzi rasmi saa moja jioni. Mwandishi wa Gazeti la Tanzania Daima, Andrew Chale akiwa kwenye ukumbi wa Mambo Club - Ngome Kongwe visiwani Zanzibar. Kulia ni baadhi ya raia wa kigeni wakivinjari kwenye… ...

 

10 years ago

GPL

MNUSO WA UZINDUZI WA SHAMRA SHAMRA ZA MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA WAFANA JIJINI DAR‏

Keki maalum iliyoandaliwa kwenye sherehe za uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa uliofanyika mwishoni mwa juma kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam. Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) akiteta jambo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UN Women nchini Tanzania, Anna...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi wa mkoa wa Lindi wajitokeza kwa wingi usiku wa shamra shamra za “Twende na Membe”

Shamra shamra za kutangaza nia ya kuwania urais zaendelea kunoga mjini Lindi ambapo leo June 6 kuamkia June 7, 2015 ambapo Mheshimiwa Bernard Membe atakuwa anatangaza nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015. Wananchi wamejitokeza kwa wingi huku msanii mzee Yusuph na kikundi cha ngoma ya Deda wakitoa burudani ya kijadi.

Wananchi waliojitokeza katika Shamra Shamra za kumpokea kesho Mheshimiwa Bernard Membe wakati atakapotangaza nia ya Urais 2015.

IMG_1957 IMG_2037 IMG_2047 Mfalme wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Shamra shamra za Mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salum Mwalimu

Kikundi cha ngoma ya kibati kikitumbuiza Uwanja wa Ndege wa Pemba wakati wa mapokezi ya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA waliofanya ziara ya siku moja kisiwani humo kwa lengo la kumtambulisha Naibu Katibu Mkuu wa Chama Zanzibar, Salum Mwalimu.

 

11 years ago

Dewji Blog

Shamra shamra za ufunguzi wa ZIFF 2014 ndani Ngome Kongwe Unguja

DSC_0002

Jukwaa litakalotumika kwa masuala ya burudani kuanzia leo Juni 14 hadi 22 ndani ya Ngome Kongwe katika ukumbi wa Mambo Club linavyoonekana muda huu kwenye hatua ya mwisho kuelekea ufunguzi rasmi saa moja jioni.(Picha na Zainul Mzige modewjiblog)

Opening Night: Mandela: Long Walk to Freedom

June 14th 20:20 Old Fort Ampitheatre

Opening Night Concert:

June 14th Mambo Club

Tamaduni Music (Tanzania) followed by BODY, MIND & SOUL (Malawi)

DSC_0003

Mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima, Andrew Chale...

 

10 years ago

Vijimambo

Shamra Shamra za Kusherehekea Ushindi wa Majimbo ya Wilaya ya Amani Unguja

Washindi wa Jimbo la Mpendae Mbunge na Mwakilishi wakiwasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Wilaya ya Mjini Amani kuhudhuria utoaji wa matokeo ya Kura za maoni ya Majimbo yaoWanachama wa CCM wakisherehekea ushindi wa Wagombea wao wakati wakiwasili katika Afisi ya CCM Wilaya ya Amani kuhudhuria sherehe za utoaji wa majina ya Washindi wa Kura za Maoni katika majimbo yao Matano, Amani, Magomeni, Kwamtipura, Chumbuni na Mpendae. Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika viwanja vya Afisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani