Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wa kijiji Bashnet mbaroni

Polisi mkoani Manyara wanawashikilia watu watatu wakazi wa Wilaya ya Babati, akiwemo Diwani wa Kata ya Bashnet (Chadema), kwa madai ya kufanya uchochezi na kufunga ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Bashneti ili itumike kama ofisi ya kijiji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mwenyekiti wa kijiji Rorya mbaroni wizi wa ng’ombe

JESHI la Polisi Rorya linamshikilia Mwenyekiti wa Kijiji cha Marasibora, Kata ya Kisumwa, Sproza Charles, kwa tuhuma za wizi wa ng’ombe watatu wa ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...

 

11 years ago

Mwananchi

Basi laua trafiki wanne, viongozi wa kijiji, ndugu 10

>Watu 19 wakiwamo askari polisi wanne wa Kituo Kikuu cha Polisi mkoani Singida wamekufa papo hapo baada ya kugogwa na basi la Sumry lililokuwa linatoka Kigoma kwenda Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mtanzania

Viongozi wa Chadema Dar mbaroni

Dk. Wilbrod Slaa

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa

Na Waandishi wetu

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam jana, liliwakamata  viongozi na wafuasi 11 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Dar es Salaam.

Wafuasi hao walikamatwa jana asubuhi walipojaribu kufanya maandamano ya kuelekea ofisi  ya  Mkuu wa Mkoa, Said Meck Sadiki kwa nia ya kushinikiza kusitishwa kwa Bunge Maalum la Katiba linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.

Wafuasi hao ambao walifika saa 12 asubuhi wakitokea...

 

10 years ago

Michuzi

WATU WANNE MBARONI AKIWEMO M/KITI WA KIJIJI CHA IHANDA WILAYANI KONGWA DODOMA KWA TUHUMA ZA MAUAJI YAKIHUSISHA IMANI ZA KISHIRIKINA

Na. Sylvester Onesmo/Dorice Kigombe wa Jeshi la Polisi Dodoma.

Watu watatu wameuawa Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma katika matukio mawili tofauti yanayohusisha imani za kishirikina.
Akizungumzia matukio Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema tukio la kwanza limetokea tarehe 01/03/2015 majira ya saa 01:00hrs katika kitongoji cha Golani, kijiji cha Masinyeti, kata ya Iduo, tarafa ya Mlali Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma ambapo mtu mmoja...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE ‘AWASWEKA NDANI’ VIONGOZI WA KIJIJI, MAFUNDI BOMBA RUWASA


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiiangalia ‘air valve’ ya mradi wa Kijiji cha Chogola, Jimbo la Kikwake, Wilayani Mpwapwa, iliyobadilishwa na watu wasiojulikana kijijini hapo. Simbachawene aliagiza Polisi kumkamata Mwenyekiti, Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Chogola, Jimbo la Kibakwe na Mafundi Bomba wawili wa Wakala ya Usambazaji Maji na Usafi na Mazingira Vijijini (RUWASA) Wilayani humo kwa kosa la kuhujumu mradi huo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viongozi Kilindi mbaroni wakidaiwa kushawishi mapigano

MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Kibirashi, wilayani Kilindi, Yussuph Mwegango na viongozi wenzake wanne wa ngazi ya vitongoji, vijiji, kata na tarafa wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kushawishi...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE ZAENDELEA KIJIJI KWA KIJIJI

  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani,Mwishehe Shaban Mlawa akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika kwenye kijiji cha Misakazi,Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 20, 2014   Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete (katikati) akitambulishwa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mwidu,Mzee Mohamed Said kwa Bw. Chomiki kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani