Basi laua trafiki wanne, viongozi wa kijiji, ndugu 10
>Watu 19 wakiwamo askari polisi wanne wa Kituo Kikuu cha Polisi mkoani Singida wamekufa papo hapo baada ya kugogwa na basi la Sumry lililokuwa linatoka Kigoma kwenda Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
FUSO LAUA WANNE TEMEKE
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Airbus laua wanne, lajeruhi 35 Kilosa
11 years ago
Habarileo02 Feb
Basi laua polisi 5
ASKARI Polisi watano wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wamekufa papo hapo baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso wa uso na basi la Kampuni ya Mohammed Trans. Ajali hiyo ilihusisha gari aina ya Toyota Corolla lenye namba ya usajili T 770 ABT lililotumiwa na polisi hao na basi aina ya Scania lenye namba za usajili T 997 AVW, mali ya Kampuni ya Mohammed Trans lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Dodoma.
11 years ago
BBCSwahili05 Jul
Bomu laua wanne nje ya Bunge Somalia
9 years ago
Mtanzania03 Dec
Basi la Takbir laua watu 12
NA SEIF TAKAZA, IRAMBA
WATU 12 wamefariki dunia papo hapo na wengine 19 kujeruhiwa, baada ya basi la Kampuni ya Takbir kugongana na lori la mafuta katika Kijiji cha Kizonzo, Shelui Wilaya ya Iramba mkoani Singida.
Ajali hiyo ilitokea katika barabara kuu ya Dar es Salaam – Mwanza.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa ajali hiyo ilitokea juzi saa 1.30 usiku wakati basi hilo lilipokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Geita.
Alisema...
10 years ago
Habarileo09 Sep
Basi laua watu 4 korongoni
AJALI nyingine imetokea nchini na safari hii imehusisha basi la Air Bus, lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Tabora.
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Basi lapinduka, laua watano
11 years ago
Habarileo15 May
Basi laua watu 10 Mwanza
WATU 10 wamekufa na wengine 10 kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa na kokoto lililoegeshwa kando ya barabara kisha kupinduka katika eneo la Nyamhongholo, jijini Mwanza.
11 years ago
Habarileo03 Aug
Basi lingine laua 3, lajeruhi 11
Ajali nyingine ya basi, imesababisha vifo vya watu watatu, huku wengine 11 wakijeruhiwa mkoani Arusha.