Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI SIMBACHAWENE ‘AWASWEKA NDANI’ VIONGOZI WA KIJIJI, MAFUNDI BOMBA RUWASA


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiiangalia ‘air valve’ ya mradi wa Kijiji cha Chogola, Jimbo la Kikwake, Wilayani Mpwapwa, iliyobadilishwa na watu wasiojulikana kijijini hapo. Simbachawene aliagiza Polisi kumkamata Mwenyekiti, Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Chogola, Jimbo la Kibakwe na Mafundi Bomba wawili wa Wakala ya Usambazaji Maji na Usafi na Mazingira Vijijini (RUWASA) Wilayani humo kwa kosa la kuhujumu mradi huo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU CCM AONGOZA VIONGOZI KUHANI MSIBA WA BABA WA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI,MAREHEMU BONIFACE SIMBACHAWENE


Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene(kulia), alivyofika kuhani msiba wa Baba Mzazi wa huyo, Marehemu Boniface Simbachawene,Ilazo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiNaibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni  akisaini kitabu cha ...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI AWESO AMUAGIZA MKURUGENZI RUWASA KUKAGUA JUMUIYA ZOTE ZA MAJI NCHINI


Charles James, Michuzi TV

SERIKALI imeuagiza Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kufanya mapitio ya tathimini ili kuzifuta Jumuiya za Maji ambazo zimeshindwa kuhudumia wananchi.

Agizo hilo limetolewa leo jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso wakati akizungumza na mameneja Ruwasa wa Wilaya na Mikoa yote ya Tanzania bara katika mkutano wa mrejesho wa uhakiki na tathimini ya utekelezaji wa mpango wa malipo kwa matokeo awamu ya nne.

Mhe Aweso amesema kumekuepo na...

 

11 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini watembelea bomba jipya la gesi

VIONGOZI wa dini wametembelea bomba jipya la gesi asilia la Mtwara- Dar es Salaam, mtambo wa kusafisha umeme wa Mnazi Bay na maeneo mbalimbali ya uendelezaji wa gesi asilia katika Mkoa wa Mtwara na Lindi.

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa kijiji Bashnet mbaroni

Polisi mkoani Manyara wanawashikilia watu watatu wakazi wa Wilaya ya Babati, akiwemo Diwani wa Kata ya Bashnet (Chadema), kwa madai ya kufanya uchochezi na kufunga ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Bashneti ili itumike kama ofisi ya kijiji.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA KIKAZI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto) akisalimiana Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohamed Haji Hassan, wakati alipokuwa anawasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume, mjini Unguja, Zanzibar, leo, kwa ajili ya ziara ya kikazi.  Kulia ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati) akizungumza na Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohamed...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA CGP KWA MABADILIKO MAKUBWA MAGEREZANI


  Na Felix Mwagara, MOHA, Morogoro.WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema kasi ya utendaji kazi wa Kamishna Generali wa Jeshi la Magereza Nchini, (CGP) Suleiman Mzee, imemfurahisha kutokana na mabadiliko makubwa ya maendeleo kwa kipindi cha muda mfupi tangu alipoteuliwa kuliongoza Jeshi hilo.
Akizungumza katika hafla ya kuzindua mashine ya kuchimbia ‘excavator’ iliyofanyika Gereza la Mbigili, Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro, jana Waziri Simbachawene alisema Jeshi la...

 

5 years ago

CCM Blog

VISHOKA UHAMIAJI WAMCHEFUA WAZIRI SIMBACHAWENE, WASAKWE POPOTE WALIPO

   Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Watendaji Wakuu wa Idara ya Uhamiaji Nchini, katika ukumbi wa mikutano wa Idara hilo, jijini Dar es Salaam, leo. Simbachawene amewataka Watendaji hao wawakikishe wanawakamata mawakala wa huduma za Uhamiaji (Vishoka), ambao wanawatapeli wananchi wakijitambulisha ni maafisa uhamiaji katika maeneo mbalimbali nchini. Pia aliwataka viongozi hao kutenda haki katika mchakato wa utoaji wa uraia. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani