Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NI KWELI WALINZI WOTE GETINI NI WEHUWEHU?

Kwenu, Wadau wa sinema za Kibongo. Hapa nazungumza zaidi na watayarishaji, waongozaji na watunzi wa filamu. Naamini mtakuwa wazima wa afya. Kwa upande wangu nipo sawa. Kuna jambo nimelitafakari kwa muda mrefu, lakini leo nimeona ni vyema niwaambie.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Eti ni kweli binadamu wote ni sawa?

WALAU sasa iko wazi kwamba sio kila kitu kiko kama kinavyosemwa. Kuna upande wa nadharia na kuna upande wa uhalisia. Vitu ambavyo vipo kama vinavyotakiwa, vilipaswa kuwa kama inavyotakiwa na...

 

10 years ago

GPL

MFANYABIASHARA AUAWA KWA RISASI GETINI

STORI: WAANDISHI WETU/Uwazi
MFANYABIASHARA mwanamama aliyetambulika kwa jina la Prisca Paul Rugeiyamu au Mama Koku (34) ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi nje ya geti la nyumba yake huku mwanaye Careen (12) akishuhudia. Padri akiuombea mwili wa marehemu Prisca Paul Rugeiyamu kanisani. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Januari 12, mwaka huu saa mbili usiku maeneo ya Tabata Segerea jijini Dar ambapo kwa mujibu wa...

 

9 years ago

Global Publishers

Dkt. Kingwangalla asiamama getini kudhibiti watumishi wachelewaji

IMG_9122Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akisimamia zoezi la ufungwaji wa geti hilo, Kulia ni askari wa SUMA JKT akiweka kufuli katika lango kuu la kuingia katika ofisi za Wizara ya Afya.IMG_9123Dkt Kingwangalla akiwauliza askari wa getini kuhusu daftari la mahudhurio ya watumishi wa wizara baada ya kufungwa geti hilo, na kupewa maelezo kuwa watumishi huonyesha vitambulisho pekee na husaini katika vitengo vyao.IMG_9139Mmoja wa wafanyakazi wa Wizara ya Afya...

 

11 years ago

GPL

MTOTO AOKOTWA GETINI AKIWA NA NGUO KWENYE RAMBO

MTOTO mwenye umri unaokadiriwa kuwa mwaka mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, aliokotwa huko Kibamba CCM, jijini Dar es Salaam, nje ya geti la nyumba ya Getruda Gervans. Mtoto aliyetelekezwa (jina halikufahamika), mwenye umri unaokadiriwa kuwa mwaka mmoja. Tukio hilo lilitokea  Juni 24, mwaka huu saa moja na nusu asubuhi huku mfuko wenye nguo zake ukiwa pembeni yake.… ...

 

10 years ago

GPL

ANAYEDAI WIFI WA ZARI AZUIWA GETINI KWA DIAMOND

Waandishi wetu Mrembo aliyedai ni dada wa hiyari wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ aliyejitambulisha kwa jina moja la Rose akijiita wifi wa mwandani wa jamaa huyo, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, hivi karibuni ameumia kupita maelezo baada ya kuzuiwa kuingia nyumbani kwa mastaa hao, Ijumaa lina mkanda mzima. Soma zaidi===>http://bit.ly/1e4hQg7 ...

 

10 years ago

Vijimambo

Utajua Marafiki wa kweli na Mburulazzz, Lulu Michael Ndio Rafiki wa Kweli

The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na mwigizaji lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matizao na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupoatea. Le mutuz alifunguka“Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na le super gademu mburulazzz ..nilipotangaza my House warming Party yanapiga simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama yangu anaumwa hamna...

 

11 years ago

Mwananchi

Unaposoma unaweza kutambua taarifa anazoandika mtunzi zilizo kweli na zisizo kweli?

Katika makala yangu yaliyochapishwa gazetini tarehe Julai 6, iliyokuwa na kichwa : “Fahamu namna ya kuboresha uwezo wako wa kusoma,” nilieleza kuwa sharti moja la kusoma vizuri ni kuwa na uwezo wa kusoma huku ukitathmini ukweli wa habari unayosoma. Kuna wasomaji kadhaa wameniomba nieleze jinsi mtu anavyoweza kutathmini anachokisoma.

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Kigwangalla apitisha mnyoosho ofisi za wizara ya afya, wachelewaji waishia getini!

IMG_9164

‘Ziara za Kushtukiza’ na ‘Minyoosho’ ni majina ya kati ya serikali ya awamu ya tano ya Rais Dkt John Pombe Magufuli na mawaziri wake wameingia na kasi hiyo hiyo tangu waapishwe.

IMG_9164

Leo ofisi za wizara ya afya jijini Dar es Salaam zilikuwa na ugeni wa ‘surprise’ kutoka kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla.

Ugeni huo haikuwa wa heri hata kidogo sababu wachelewaji wote walijikuta wakirudia getini baada ya Kigwangalla kuwaamrisha walinzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani