Picha: Kigwangalla apitisha mnyoosho ofisi za wizara ya afya, wachelewaji waishia getini!
‘Ziara za Kushtukiza’ na ‘Minyoosho’ ni majina ya kati ya serikali ya awamu ya tano ya Rais Dkt John Pombe Magufuli na mawaziri wake wameingia na kasi hiyo hiyo tangu waapishwe.
Leo ofisi za wizara ya afya jijini Dar es Salaam zilikuwa na ugeni wa ‘surprise’ kutoka kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla.
Ugeni huo haikuwa wa heri hata kidogo sababu wachelewaji wote walijikuta wakirudia getini baada ya Kigwangalla kuwaamrisha walinzi...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Dkt. Kingwangalla asiamama getini kudhibiti watumishi wachelewaji
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akisimamia zoezi la ufungwaji wa geti hilo, Kulia ni askari wa SUMA JKT akiweka kufuli katika lango kuu la kuingia katika ofisi za Wizara ya Afya.
Dkt Kingwangalla akiwauliza askari wa getini kuhusu daftari la mahudhurio ya watumishi wa wizara baada ya kufungwa geti hilo, na kupewa maelezo kuwa watumishi huonyesha vitambulisho pekee na husaini katika vitengo vyao.
Mmoja wa wafanyakazi wa Wizara ya Afya...
9 years ago
Dewji Blog18 Dec
Mapema asubuhi ya leo Dkt. Kingwangalla atumbua majipu ya watumishi wachelewaji wa Wizara ya Afya
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akiwaamrisha askari wa getini wizarani hapo kuweka kufuli na kutoruhusu mtumishi yoyote wa ofisi hiyo kuingia ndani ya ofisi za wizara ilipotimu saa 1:32 asubuhi mapema leo.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akisimamia zoezi la ufungwaji wa geti hilo, Kulia ni askari wa SUMA JKT akiweka kufuli...
9 years ago
Michuzi18 Dec
MAPEMA ASUBUHI YA LEO DKT. KINGWANGALLA ATUMBUA MAJIPU YA WATUMISHI WACHELEWAJI WA WIZARA YA AFYA



9 years ago
Mwananchi19 Dec
Dk Kigwangalla awafungia geti wafanyakazi wachelewaji
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Kigwangalla: Tujiepushe kujadili afya za wengine
10 years ago
Mtanzania08 Jun
Kigwangalla aja na bima ya afya kwa kila mwananchi
NA RUTH MNKENI, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Nzega, Dk. Khamis Kigwangalla, ametangaza rasmi nia ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akitaja vipaumbele vikuu vitatu ikiwa ni pamoja na kuboresha huduma za afya.
Kigwangalla ambaye alitangaza nia yake hiyo jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Nzega mkoani Tabora, alisema ameamua kuchukua uamuzi huo kwani ana dhamira njema, hofu ya Mungu na anachukia rushwa.
Alisema Tanzania ya sasa inahitaji kuongozwa na vijana ambao wana...
11 years ago
Michuzi.jpg)
WIZARA YA AFYA YAKABIDHI MABASI 6 KWA VYUO VYA AFYA NCHINI
.jpg)
.jpg)
5 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA KUTOKA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO)
Akipokea msaada huo, huko Wizara ya Afya Mnazimmoja Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt Jamala Adam Taib amelishukuru shirika hilo kwa kutoa msaada ambao utawasaidia wafanyakazi kutekeleza kazi zao kwa ufanisi pamoja na kujikinga na maambukizi ya...