Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kigwangalla aja na bima ya afya kwa kila mwananchi

khamisNA RUTH MNKENI, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Nzega, Dk. Khamis Kigwangalla, ametangaza rasmi nia ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akitaja vipaumbele vikuu vitatu ikiwa ni pamoja na kuboresha huduma za afya.
Kigwangalla ambaye alitangaza nia yake hiyo jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Nzega mkoani Tabora, alisema ameamua kuchukua uamuzi huo kwani ana dhamira njema, hofu ya Mungu na anachukia rushwa.
Alisema Tanzania ya sasa inahitaji kuongozwa na vijana ambao wana...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA KUHAMASISHA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO NCHINI KUJIUNGA KIFURUSHI CHA MACHINGA AFYA KWA SH.100,000

Na Said Mwishehe,Michuzi TV

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya Nchini (NHIF) umeanzisha kifurushi cha 'Machinga Afya' kwa ajili ya wafanyabiashara ndogondogo maarufu kwa jina la Wamachinga ambacho gharama yake ni Sh.100,000 tu.

Kwa mujibu wa NHIF ni kifurushi hicho baada mwanachama kujiunga na kulipa fedha hizo atapata huduma ya matibabu ya afya nchi nzima na katika vituo vya afya zaidi ya 7,700.

Akizungumzia leo Juni 9,2020 jijini Dar es Salaam Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja NHIF Hipoliti...

 

5 years ago

Michuzi

DC aagiza kila mwananchi kupambana na Corona kwa hiari

Na Amiri kilagalila,Njombe

Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza kila mwananchi kuhakikisha anapambana na virusi vya Corona (COVID-19) kwa hiari ili taifa liweze kubaki salama.

Msafiri ametoa agizo hilo mapema alfajiri ya leo April 22 2020 wakati akiongoza zoezi la utakasaji mabasi yanayoelekea mikoa mingine kutokea kituo cha mabasi Njombe mjini kwa Croline,zoezi ambalo limeratibiwa na halmashauri ya mji wa Njombe.

“Kila mwananchi ajione ni mdau katika zoezi la kupambana na virusi...

 

11 years ago

Mwananchi

Bima ya Afya kutoa mikopo kwa hospitali

 Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umetenga Sh10 bilioni zitakazotolewa mkopo kwa hospitali za umma na binafsi kuziwezesha kununua dawa na vifaa tiba kwa ajili ya kuboresha huduma za afya nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Akamatwa kwa kughushi fomu za Bima ya Afya

Mtu mmoja aliyejifanya kuwa ni mfanyakazi wa Taasisi ya IMTU, Bakari Ramadhani amekamatwa na maofisa wa Shirika la Taifa la Bima ya Afya (NHIF), akiwa na fomu zao za kughushi za kuchukulia dawa zikiwa zimegongwa mihuri inayoonyesha ni ya Hospitali ya Rufaa ya Temeke.

 

10 years ago

GPL

NHIF YAKABIDHI KADI ZA BIMA YA AFYA KWA WANAHABARI

Mwandishi wa Habari kutoka Kampuni ya Global Publishers, Denis Mtima (kulia) akionesha kadi yake ya Bima ya Afya kwa wanahabari (pichani hawapo). Mwandishi wa Habari kutoka The Guardian, Ndeninsia Lisley (kushoto) akionesha kadi yake ya matibabu kwa wanahabari. Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa NHIF, Athuman Rehan (kulia) akimkabidhi kadi ya matibabu, Ndeninsia anayeshudia katikati ni mwenyekiti wa kampeni ya Media Car Wash,...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Afya atembelea Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya jijini Dar

Kaimu Mkurugezi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Hamis Mdee akimkabidhi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid nakala ya Taarifa ya Utekelezaji wa Mfuko huo,wakati wa ziara ya Waziri kwenye Ofisi za Mfuko huo,jijini Dar es Salaam. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid akizungumza na watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (hawapo pichani) wakati alipotembelea Ofisi za Mfuko huo,jijini Dar es Salaam. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid...

 

11 years ago

Mwananchi

AFYA: Hofu yatanda Mfuko Bima ya Afya

>Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya nchini (NHIF) huenda usifikie lengo lake la kuwahudumia wananchi kwa asilimia 30 ifikapo mwakani, kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo ya Jiji la Dar es Salaam kushindwa kuhamasisha wananchi wake kujiunga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani