DC aagiza kila mwananchi kupambana na Corona kwa hiari

Na Amiri kilagalila,Njombe
Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza kila mwananchi kuhakikisha anapambana na virusi vya Corona (COVID-19) kwa hiari ili taifa liweze kubaki salama.
Msafiri ametoa agizo hilo mapema alfajiri ya leo April 22 2020 wakati akiongoza zoezi la utakasaji mabasi yanayoelekea mikoa mingine kutokea kituo cha mabasi Njombe mjini kwa Croline,zoezi ambalo limeratibiwa na halmashauri ya mji wa Njombe.
“Kila mwananchi ajione ni mdau katika zoezi la kupambana na virusi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMwananchi apanga kufungua shauri,Mahakama izuie uchaguzi mwaka huu,fedha zielekezwe kupambana na Corona
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mwananchi mmoja anaefahamika kwa jina la Johnson Mgimba mkazi wa Njombe Mjini amesema kutokana na ugonjwa wa covid19 kuendelea kushika kasi nchini na duniani kote , amekusudia kufungua kesi katika mahakama kuu kanda ya Iringa ya kuomba serikali kusitisha mchakato na maandalizi ya uchaguzi mkuuu na fedha iliyotengwa kuelekezwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo.
Raia huyo ambaye amejibatiza jina la kijana mzalendo amesema kuna kila sababu ya kusitisha uchaguzi...
10 years ago
Mtanzania08 Jun
Kigwangalla aja na bima ya afya kwa kila mwananchi
NA RUTH MNKENI, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Nzega, Dk. Khamis Kigwangalla, ametangaza rasmi nia ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akitaja vipaumbele vikuu vitatu ikiwa ni pamoja na kuboresha huduma za afya.
Kigwangalla ambaye alitangaza nia yake hiyo jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Nzega mkoani Tabora, alisema ameamua kuchukua uamuzi huo kwani ana dhamira njema, hofu ya Mungu na anachukia rushwa.
Alisema Tanzania ya sasa inahitaji kuongozwa na vijana ambao wana...
10 years ago
Mwananchi16 Jun
Jitihada za kuendeleza elimu nchini ni za kila mwananchi
10 years ago
VijimamboMBOWE:TUTAHAKIKISHA KILA MWANANCHI AMEJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA MPIGA KURA LAKINI KWA UPANDE WA KATIBA MSIMAMO WETU KAMA UKAWA UKO PALE PALE WA KUTOSHIRIKI

MWENYEKITI wa chama cha demokrasi na maendeleo Chadema Freeman Mbowe amesema kuwa chama chao kimejipanga...
10 years ago
MichuziMBOWE:TUTAAKIKISHA KILA MWANANCHI AMEJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA MPIGA KURA LAKINI KWA UPANDE WA KATIBA MSIMAMO WETU KAMA UKAWA UKO PALE PALE WA KUTOSHIRIKI

MWENYEKITI wa chama cha demokrasi na maendeleo Chadema Freeman Mbowe amesema kuwa chama...
5 years ago
BBCSwahili27 Mar
Coronavirus: Wanasiasa waliojitosa kupambana na corona kwa njia ya nyimbo
5 years ago
Michuzi
TMRC yatoa mchango kwa Serikali na jamii kupambana na Corona.

..............................................
TMRC imetoa msaada huo kwa hospitali ya Serikali ya Amana. Msaada huo ni gallons 50 za lita 5 za vitakasa mikono (sanitizer) ambazo kwa ujumla wake ni lita 250.
Msaada huo ulipokelewa na Mganga...
10 years ago
Vijimambo
5 years ago
Michuzi
RC HAPI APOKEA MSAADA KUTOKA KWA QWIHAYA KUSAIDIA KUPAMBANA NA CORONA



NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
Kampuni ya uzalizaji wa nguzo za umeme ya Qwihaya General Enterprises imekabidhi msaada wa zaidi ya shilingi milioni kumi kwa mkuu wa mkoa...