Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Wanasiasa waliojitosa kupambana na corona kwa njia ya nyimbo

Tangu mlipuko wa coronavirus ulipoanza juhudi mbali mbali za kuzuwia kusambaa kwa virusi hivyo zimekua zikifanyika, lakini baadhi ya wanasiasa hawa wamejitosa kutumia usanii kuwaelemisha raia juu ya kuepuka virusi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MDAHALO WA KIMATAIFA WA KUPAMBANA NA UGONJWA WA CORONA WAENDESHWA NA TAGLA KWA NJIA YA VIDEO

MDAHALO wa kimataifa umeendeshwa na Wakala ya Mafunzo kwa nia ya Mtandao (TaGLA) ikishirikisha nchi za Korea ya Kusini, Sri Lanka, Thailand, Japan na Shirika la Afya Duniani. Wawasilisha mada walisisitiza muhimu wa kuwatafuta, kuwatenga, kufanyia uchambuzi wa haraka na kutibu kila mgonjwa atakaepatikana. Juhudi hizo zimguse kila mtu, kila familia, jamii na kitaifa ili kuleta ufanisi kutokomeza janga hili la ugonjwa wa corona. Washiriki kutoka Tanzania walikuwa madaktari, wasomi, viongozi,...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Jitihada za Zanzibar kupambana na kusambaa kwa virusi vya corona

Waziri wa afya visiwani Zanzibar Hamad Rashid ameiambia BBC kwamba virusi hivi utaathiri uchumi visiwani humo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Njia tano zilizotumiwa na baadhi ya mataifa kuzuia kasi ya virusi vya corona

Huku baadhi ya mataifa yakipata maafa mabaya zaidi kama vile China, Uhispania, Itali na Marekani , mengine yameidhinisha mikakati ambayo imezuia kusambaa zaidi kwa virusi vya corona.

 

10 years ago

Bongo Movies

Dude akubaliana na bei ya Tshs. 1500 kwa filamu. Asema ndio njia pekee ya kupambana na uharamia.

Masanii wa filamu nchini Dude, amefunguka kwa kusema kuwa kwa kuwa serikali imeshindwa kupambana na wezi wa kazi za wasanii ni bora bei ya Steps Tsh 1500 iyendelee ili kuiyokoa tasinia hiyo.

Dude ameiambia tovuti ya Bongo5 kuwa hakuna njia kwa sasa ya kuweza kupambana na maharamia wa kazi za wasanii zaidi kushusha bei ya filamu.

“Tumeshindwa kuwathibiti pirates, watu wanasambaza kazi, wanauza kazi kwa bei rahisi, leo hii ukienda Buguruni unapata kazi kwa elfu mbili, elfu moja mia tano,...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Raia wa Italia watiana moyo kwa nyimbo za kizalendo

Raia wa Italia watiana moyo kwa nyimbo za kizalendo wakiwasifu wahudumu wa afya wanaopambana kuokoa maisha ya watu

 

5 years ago

Michuzi

DC aagiza kila mwananchi kupambana na Corona kwa hiari

Na Amiri kilagalila,Njombe

Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza kila mwananchi kuhakikisha anapambana na virusi vya Corona (COVID-19) kwa hiari ili taifa liweze kubaki salama.

Msafiri ametoa agizo hilo mapema alfajiri ya leo April 22 2020 wakati akiongoza zoezi la utakasaji mabasi yanayoelekea mikoa mingine kutokea kituo cha mabasi Njombe mjini kwa Croline,zoezi ambalo limeratibiwa na halmashauri ya mji wa Njombe.

“Kila mwananchi ajione ni mdau katika zoezi la kupambana na virusi...

 

5 years ago

Michuzi

TMRC yatoa mchango kwa Serikali na jamii kupambana na Corona.

Mganga Mkuu wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Amana Dr. Amani Malima, aliyevaa shati akipokea gallon ya lita 5 za vitakasa mikono (sanitizer) kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TMRC Oscar Mgaya wakati wa hafla hiyo ya makabidhiano ya mchango huo wa Vitakasa mikono 
..............................................
TMRC imetoa msaada huo kwa hospitali ya Serikali ya Amana. Msaada huo ni gallons 50 za lita 5 za vitakasa mikono (sanitizer) ambazo kwa ujumla wake ni lita 250.
Msaada huo ulipokelewa na Mganga...

 

5 years ago

Michuzi

RC HAPI APOKEA MSAADA KUTOKA KWA QWIHAYA KUSAIDIA KUPAMBANA NA CORONA

Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi akikabidhiwa msaada wa kusiadia kujikinga na virusi vya corona na mkurugenzi wa kampuni hiyo Leonard Mahenda vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni kumi.Moja ya vitu vilivyotolewa na mkurugenzi wa kampuni hiyo Leonard Mahenda kwa ajili ya kusaidia kupambana na maambukizi ya Corona mkoani Iringa
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
 Kampuni ya uzalizaji wa nguzo za umeme ya Qwihaya General Enterprises imekabidhi msaada wa zaidi ya shilingi milioni kumi kwa mkuu wa mkoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani