Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jitihada za kuendeleza elimu nchini ni za kila mwananchi

Uzoefu wangu wa kufuatilia masuala ya elimu, unaonyesha aghlabu matatizo mengi katika sekta ya elimu yanasababishwa na Serikali kama mdau mkuu

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WADAU WA MAZINGIRA WAPONGEZA JITIHADA ZA SERIKALI KATIKA KUENDELEZA MATUMIZI YA NIHATI JADIDIFU NCHINI


Wadau wa mazingira kutoka Shirika la FORUMCC wakiendelea na majadiliano leo Juni 25,2020 Mjini Morogoro ambao wamekutana kujadilia bajeti ya Wizara ya Nishati pamoja na jitihada zinazofanywa katika kuhamasisha matumizi ya nishati mbadala ikiwa ni mkakati wa kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Sehemu ya wanachama wa FORUMCC wakiwa makini kufuatilia majadiliano wakati wa mkutano wa kujadili matumizi ya nishati jadidifu pamoja na jitihada za Serikali katika kuendeleza sekta hiyo...

 

10 years ago

Mtanzania

Kigwangalla aja na bima ya afya kwa kila mwananchi

khamisNA RUTH MNKENI, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Nzega, Dk. Khamis Kigwangalla, ametangaza rasmi nia ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akitaja vipaumbele vikuu vitatu ikiwa ni pamoja na kuboresha huduma za afya.
Kigwangalla ambaye alitangaza nia yake hiyo jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Nzega mkoani Tabora, alisema ameamua kuchukua uamuzi huo kwani ana dhamira njema, hofu ya Mungu na anachukia rushwa.
Alisema Tanzania ya sasa inahitaji kuongozwa na vijana ambao wana...

 

5 years ago

Michuzi

DC aagiza kila mwananchi kupambana na Corona kwa hiari

Na Amiri kilagalila,Njombe

Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza kila mwananchi kuhakikisha anapambana na virusi vya Corona (COVID-19) kwa hiari ili taifa liweze kubaki salama.

Msafiri ametoa agizo hilo mapema alfajiri ya leo April 22 2020 wakati akiongoza zoezi la utakasaji mabasi yanayoelekea mikoa mingine kutokea kituo cha mabasi Njombe mjini kwa Croline,zoezi ambalo limeratibiwa na halmashauri ya mji wa Njombe.

“Kila mwananchi ajione ni mdau katika zoezi la kupambana na virusi...

 

10 years ago

Africanjam.Com

KILA MWANANCHI TANZANIA ANATAKIWA KUCHANGIA SH.100/=. UNAJUA SABABU?

Kwenye headlines toka Dodoma labda hii ilikupita, Wabunge wamesikika mara nyingi wakilalamika kwamba Serikali itafanya maisha yawe magumu baada ya kutangazwa kwamba bei ya mafuta itabidi ipande ili kuchangia miradi ya usambazaji wa umeme TZ.

Africanjam, We provide news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Breaking news. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

9 years ago

Michuzi

KILA MWANANCHI ANAWAJIBU WA KUTUNZA VYANZO VYA MAJI-BALOZI ALI IDDI

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe kuzindua mradi wa uchimbaji Visima vya Maji Zanzibar unaofadhiliwa na Mtawala wa RAS Al - Khaimah hpo Chumbuni.  Balozi Seif akishuhudi kasi ya maji inayotoka miongoni mwa Visima 50 vilivyochimbwa maeneo mbali mbali ya Zanzibar hapo Chumbuni ndani ya iliyokuwa zamani studio ya Sauti ya Tanzania Zanzibar.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAFURAHISHWA NA JITIHADA ZA WILAYA YA CHATO KATIKA KUWEKEZA KWENYE ELIMU

NAIBU Katibu Mkuu anayeshughulikia Elimu OR-TAMISEMI Gerald Mweli amesema ameridhishwa na kutambua jitihada zinazofanywa na viongozi wa Wilaya ya Chato katika kuwekeza kwenye miundombinu ya Elimu.

Mweli ameyasema hayo wakati alipotembelea Wilaya hiyo na kukutana na Menejimenti, Walimu pamoja na kukagua ujenzi wa shule mbalimbali zilizoboreshwa na zinazoendelea kuboreshwa Wilayani hapo.

Mweli amesema anatambua  jitihada kubwa zinazofanywa katika eneo hili la Elimu ikiwa ni pamoja na kuanzisha ...

 

11 years ago

Michuzi

Mwananchi wa Kata Pera waridhishwa na hotuba za Ridhiwani Kikwete,kwani zinawagusa katika kila nyanja

Mwananchi wa Kata Pera waahidi kumpigia kura Ridhiwani Kikwete tarehe 6 mwezi wa nne baada ya kuridhishwa na Hotuba zake zinazogusa changamoto zao kama elimu, maji, zahanati, barabara na namna atakavyoboresha miundo mbinu ya jimbo la Chalinze na kuwasaidia wafugaji katika suala zima la kuongeza majosho ya mifugo.
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete  akihutubia wakazi wa kijiji cha Pera wakati wa mkutano wa kampeni za Ubunge Jimbo la Chalinze, Ridhiwani aliwaambia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

HLI kuendeleza elimu ya kutetea maisha

SHIRIKA la Kimataifa la Kutetea Maisha ya Binadamu (HLI) limejipanga kuendelea kutoa elimu ya kutetea maisha ya binadamu asiyeweza kujitetea. HLI pia imedhamiria kupambana na utoaji mimba ili kuendeleza sheria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani