Dk Kigwangalla awafungia geti wafanyakazi wachelewaji
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangalla ametoa adhabu kwa wafanyakazi wote waliofika ofisini baada ya 1:30 asubuhi na kwa kufungiwa geti. Â Â Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Sentensi 6 za Naibu Waziri Hamisi Kigwangalla baada ya kufungia wafanyakazi nje ya geti Dec 18.. (+Picha)
Ijumaa ya December 18 2015 inakuwa siku ya sita tangu Mawaziri na Manaibu wao walioteuliwa na Rais Magufuli waapishwe Ikulu Dar es Salaam… kwenye list ya Baraza hilo, yuko pia Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Dk. Hamisi Andrea Kigwangalla, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nzega Tabora. Nimepita kwenye ukurasa wake Instagram @hamisi_kigwangalla, ambapo […]
The post Sentensi 6 za Naibu Waziri Hamisi Kigwangalla baada ya kufungia wafanyakazi nje ya geti Dec 18.. (+Picha) appeared first on...
9 years ago
Bongo518 Dec
Picha: Kigwangalla apitisha mnyoosho ofisi za wizara ya afya, wachelewaji waishia getini!
‘Ziara za Kushtukiza’ na ‘Minyoosho’ ni majina ya kati ya serikali ya awamu ya tano ya Rais Dkt John Pombe Magufuli na mawaziri wake wameingia na kasi hiyo hiyo tangu waapishwe.
Leo ofisi za wizara ya afya jijini Dar es Salaam zilikuwa na ugeni wa ‘surprise’ kutoka kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla.
Ugeni huo haikuwa wa heri hata kidogo sababu wachelewaji wote walijikuta wakirudia getini baada ya Kigwangalla kuwaamrisha walinzi...
10 years ago
VijimamboWAFANAYAKAZI WA UWANJA WA NDEGE SONGWE WACHELEWAJI KUFIKA KAZINI ABIRIA WALEO ALFAJIRI WASOTA KWA MASAA WAKIWASUBIRI WAFANYAKAZI HAO
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
DC awafungia maafisa waliochelewa kazini TZ
10 years ago
Mtanzania19 Dec
Phiri awafungia kazi kina Sserunkuma
Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM,
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Patrick Phiri amewafungia kazi wachezaji wake wapya hasa wale wa kigeni ili kuangalia kwa umakini viwango vyao, ikiwa ni sehemu ya mikakati yake kuona anaweza kuwatumia vipi na kwa mfumo gani katika kikosi chake.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Phiri alisema baada ya usajili wa dirisha dogo angependa kufahamu kwa kina uwezo wa kila mchezaji mpya ili mwisho wa siku aweze kujua jinsi ya...
10 years ago
GPLMAMA AWAFUNGIA NDANI WANAYE 3 KWA MIAKA 10
9 years ago
Habarileo19 Dec
Waziri awahi ofisini kushika wachelewaji
KASI ya mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Tano, imeendelea kutikisa sehemu mbalimbali, ambapo katika Wizara wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, baadhi ya watumishi wameanza kuonja joto la viongozi hao kwa kutakiwa kuwahi kazini.
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Dkt. Kingwangalla asiamama getini kudhibiti watumishi wachelewaji
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akisimamia zoezi la ufungwaji wa geti hilo, Kulia ni askari wa SUMA JKT akiweka kufuli katika lango kuu la kuingia katika ofisi za Wizara ya Afya.Dkt Kingwangalla akiwauliza askari wa getini kuhusu daftari la mahudhurio ya watumishi wa wizara baada ya kufungwa geti hilo, na kupewa maelezo kuwa watumishi huonyesha vitambulisho pekee na husaini katika vitengo vyao.Mmoja wa wafanyakazi wa Wizara ya Afya...
9 years ago
Dewji Blog18 Dec
Mapema asubuhi ya leo Dkt. Kingwangalla atumbua majipu ya watumishi wachelewaji wa Wizara ya Afya
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akiwaamrisha askari wa getini wizarani hapo kuweka kufuli na kutoruhusu mtumishi yoyote wa ofisi hiyo kuingia ndani ya ofisi za wizara ilipotimu saa 1:32 asubuhi mapema leo.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akisimamia zoezi la ufungwaji wa geti hilo, Kulia ni askari wa SUMA JKT akiweka kufuli...