Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sentensi 6 za Naibu Waziri Hamisi Kigwangalla baada ya kufungia wafanyakazi nje ya geti Dec 18.. (+Picha)

Ijumaa ya December 18 2015 inakuwa siku ya sita tangu Mawaziri na Manaibu wao walioteuliwa na Rais Magufuli waapishwe Ikulu Dar es Salaam… kwenye list ya Baraza hilo, yuko pia Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Dk. Hamisi Andrea Kigwangalla, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nzega Tabora. Nimepita kwenye ukurasa wake Instagram @hamisi_kigwangalla, ambapo […]

The post Sentensi 6 za Naibu Waziri Hamisi Kigwangalla baada ya kufungia wafanyakazi nje ya geti Dec 18.. (+Picha) appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Dk Kigwangalla awafungia geti wafanyakazi wachelewaji

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangalla ametoa adhabu kwa wafanyakazi wote waliofika ofisini baada ya 1:30 asubuhi na kwa kufungiwa geti.     

 

9 years ago

Michuzi

Waziri na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wawasili rasmi Wizarani baada ya kuapishwa

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akimkaribisha  Wizarani kwa mara ya kwanza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Augustine Mahiga mara alipowasili Wizarani baada ya kuapishwa Ikulu tarehe 12 Desemba, 2015. Aliyesimama pembeni ni Katibu Mkuu wa iliyokuwa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bibi Joyce Mapunjo.Mhe. Balozi Mahiga akikaribishwa na...

 

10 years ago

Michuzi

Hotuba ya Dkt. Hamisi Kigwangalla, Mbunge wa Jimbo la Nzega na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya TAMISEMI Alipopokelewa Jimboni Nzega Baada ya Kutangaza Nia Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Awali ya yote nianze kwa kumshukuru mwenyezi mungu, mwingi wa rehema na mwenye kurehemu, kwa kutujalia afya njema na kutukutanisha hapa siku hii adhimu ya leo, maana ni kwa utashi wake tu tunaweza kuyafanya haya yote.


Nitumie fursa hii kwa namna ya kipekee kuwashukuru nyote kwa kuacha shughuli zenu kuja kunipokea na kushiriki mkutano huu. Mmenipa heshima kubwa sana na mimi nawajibika tu kusema ‘ahsanteni sana’.


Mimi hapa ni aidha mtoto wenu, mjukuu wenu ama mdogo wenu, mnapoacha shughuli zenu...

 

10 years ago

Mwananchi

MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: Dk Hamisi Kigwangalla

>Kufaidika: Nimekuwa mtetezi na sauti yenu siku zote. Kuhusu kuridhika, hilo ni gumu kidogo, maana ni uamuzi wa mtu, ila haya machache yafuatayo ndiyo niliyojitahidi kuyafuatilia na kuyasimamia.

 

9 years ago

Dewji Blog

Hamisi Kigwangalla na Mwigulu Nchemba wapeta katika majimbo yao

Kwa mujibu wa akaunti zao Twitter na hicho ndicho walichokisema.

kigwangwala

nchemba

 

9 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza leo katika hospitali za rufaa mikoa ya Lindi na Mtwara

IMG_9315

Kaimu Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Damasiana Msalla akimuongoza Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla kuelekea kwenye wodi za hospitali wakati wa ziara ya kushtukiza aliyofanya mkoa wa Lindi.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog)

IMG_9342

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Dkt. Evaristo Kasanga akimkaribisha Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi...

 

10 years ago

Michuzi

Kitabu Kipya cha Mhe. Hamisi Kigwangalla: "Kigwanomics and The Tanzania We Want: From Renaissance to Transformation"

Ndugu,
Ninafuraha isiyokadirika kwa hatimaye kufanikisha kazi niliyoianza takriban miaka minne iliyopita kuandika kitabu kinachoainisha mawazo yangu juu ya Tanzania tuitakayo, Tanzania ya mabadiliko, Tanzania ya mapinduzi kuelekea kupata maisha bora kwa kila mtu. Ndani yake nimejaribu kuelezea, kwa kadri nilivyojaaliwa, jukumu la kizazi chetu ni nini haswa? Misingi ya ukombozi wa kiuchumi na kijamii ni ipi haswa? Nini chanzo cha umaskini na utajiri wa nchi? Nini kifanyike ili tuvune na...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akutana na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya alipomtembelea ofisini kwake jana . Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya alipomtembelea ofisini kwake jana. Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Kigwangalla-Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Dk Hamis Andrea Kigwangalla ndiye Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Pombe Magufuli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani