Kitabu Kipya cha Mhe. Hamisi Kigwangalla: "Kigwanomics and The Tanzania We Want: From Renaissance to Transformation"
![](http://4.bp.blogspot.com/-w6oVSy2_DNM/VTJ6rExi-VI/AAAAAAAHR6A/2IaPqN2AdlE/s72-c/CCuHZcWWMAAeFsc.jpg)
Ndugu,Ninafuraha isiyokadirika kwa hatimaye kufanikisha kazi niliyoianza takriban miaka minne iliyopita kuandika kitabu kinachoainisha mawazo yangu juu ya Tanzania tuitakayo, Tanzania ya mabadiliko, Tanzania ya mapinduzi kuelekea kupata maisha bora kwa kila mtu. Ndani yake nimejaribu kuelezea, kwa kadri nilivyojaaliwa, jukumu la kizazi chetu ni nini haswa? Misingi ya ukombozi wa kiuchumi na kijamii ni ipi haswa? Nini chanzo cha umaskini na utajiri wa nchi? Nini kifanyike ili tuvune na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Apr
Kitabu cha Kigwangalla “Tanzania tuitakayo” kusambazwa nchi nzima
Na Zainul Mzige wa modewjiblog
Mbunge wa Nzega ambaye amejitokeza kutangaza nia ya kugombea urais nchini ambaye pia amekuwa mtetezi mkuu wa wananchi wa jimboni kwake kupitia migodi mbalimbali Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla (Mb) ameandika kitabu kiitwacho “Tanzania tunayoitaka” yakiwa ni mawazo yake binafsi ambacho anatarajia kukisambaza Tanzania nzima.
Kigwangalla katika kitabu chake amezungumzia fikra mpya za kuleta mapinduzi ya kiuchumi na kijamii kutokana na urithi wa rasilimali, utamaduni...
10 years ago
Vijimambo16 Apr
KITABU CHA KIGWANGALLA "TANZANIA TUITAKAYO" KUSAMBAZWA NCHI NZIMA
![CCiV3FEWIAEKkRE](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/CCiV3FEWIAEKkRE.jpg)
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/CCiV3FEWIAEKkRE.jpg?width=650)
KITABU CHA KIGWANGALLA "TANZANIA TUITAKAYO" KUSAMBAZWA NCHI NZIMA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-wEFQUqercMI/VA9P7H3WZcI/AAAAAAAGiSk/uAglWUY1aes/s72-c/unnamed%2B(26).jpg)
Tamko rasmi la Dkt. Hamisi Kigwangalla Habari la Kutangaza Nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwaka 2015
![](http://3.bp.blogspot.com/-wEFQUqercMI/VA9P7H3WZcI/AAAAAAAGiSk/uAglWUY1aes/s1600/unnamed%2B(26).jpg)
9 years ago
Bongo528 Sep
Kitabu kipya cha Harry Porter kipo njiani, kitakuwa cha bure
9 years ago
BBCSwahili02 Jan
Kitabu kipya cha Game of Thrones kuchelewa
10 years ago
GPL10 years ago
Mwananchi10 Feb
MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: Dk Hamisi Kigwangalla
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-F-TNwUV4FB4/U8903kKNxzI/AAAAAAAF5Ds/shGFC-Oh8zs/s1600/unnamed+%2812%29.jpg?width=650)
BALOZI MDOGO WA TANZANIA DUBAI, MHE. OMAR MJENGA, ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KATIKA UBALOZI MDOGO WA MALAYSIA.