KITABU CHA KIGWANGALLA "TANZANIA TUITAKAYO" KUSAMBAZWA NCHI NZIMA
Na Zainul Mzige wa modewjiblogMbunge wa Nzega ambaye amejitokeza kutangaza nia ya kugombea urais nchini ambaye pia amekuwa mtetezi mkuu wa wananchi wa jimboni kwake kupitia migodi mbalimbali Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla (Mb) ameandika kitabu kiitwacho "Tanzania tunayoitaka" yakiwa ni mawazo yake binafsi ambacho anatarajia kukisambaza Tanzania nzima.Kigwangalla katika kitabu chake amezungumzia fikra mpya za kuleta mapinduzi ya kiuchumi na kijamii kutokana na urithi wa rasilimali, utamaduni na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Apr
Kitabu cha Kigwangalla “Tanzania tuitakayo” kusambazwa nchi nzima
Na Zainul Mzige wa modewjiblog
Mbunge wa Nzega ambaye amejitokeza kutangaza nia ya kugombea urais nchini ambaye pia amekuwa mtetezi mkuu wa wananchi wa jimboni kwake kupitia migodi mbalimbali Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla (Mb) ameandika kitabu kiitwacho “Tanzania tunayoitaka” yakiwa ni mawazo yake binafsi ambacho anatarajia kukisambaza Tanzania nzima.
Kigwangalla katika kitabu chake amezungumzia fikra mpya za kuleta mapinduzi ya kiuchumi na kijamii kutokana na urithi wa rasilimali, utamaduni...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/CCiV3FEWIAEKkRE.jpg?width=650)
KITABU CHA KIGWANGALLA "TANZANIA TUITAKAYO" KUSAMBAZWA NCHI NZIMA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-w6oVSy2_DNM/VTJ6rExi-VI/AAAAAAAHR6A/2IaPqN2AdlE/s72-c/CCuHZcWWMAAeFsc.jpg)
Kitabu Kipya cha Mhe. Hamisi Kigwangalla: "Kigwanomics and The Tanzania We Want: From Renaissance to Transformation"
![](http://4.bp.blogspot.com/-w6oVSy2_DNM/VTJ6rExi-VI/AAAAAAAHR6A/2IaPqN2AdlE/s1600/CCuHZcWWMAAeFsc.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-KZ4AL469p0U/XvN9LCYzo8I/AAAAAAALvSI/HIKOKHnSoaArPTYI0RoV6dzb3oIC8KWSACLcBGAsYHQ/s72-c/c7cc93d4-7171-4288-bfd1-6bd8ac1890da.jpg)
WAZIRI KIGWANGALLA ATETA NA MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI KUHUSU UTAYARI WA TANZANIA KUPOKEA WATALII.
![](https://1.bp.blogspot.com/-KZ4AL469p0U/XvN9LCYzo8I/AAAAAAALvSI/HIKOKHnSoaArPTYI0RoV6dzb3oIC8KWSACLcBGAsYHQ/s640/c7cc93d4-7171-4288-bfd1-6bd8ac1890da.jpg)
Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Ulf Kallstig akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia) leo jijini Dar es salaam.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/f6e869ab-4b74-402f-af98-e06beea37b45.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/94650104-25ea-4f44-a6b5-13c0aefb0a60.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/6dfb5317-2731-4406-b729-8655296cd699.jpg)
Waziri wa Maliasili na Utalii...
10 years ago
MichuziJK MGENI RASMI UZINDUZI WA KITABU CHA HISTORIA YA NCHI “PHOTOGRAPHIC BOOK”
11 years ago
MichuziSTEVE NYERERE ATEULIWA KUONGOZA KIKOSI CHA WASANII KUTANGAZA AMANI NCHI NZIMA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-LAU-B6tA-7I/VGC9J4kvvAI/AAAAAAAGwaI/lUtWESi1ZXg/s72-c/pinda%2Bmizengo.jpg)
TANZANIA INAHITAJI MASTER PLAN YA NCHI NZIMA - WAZIRI MKUU
![](http://4.bp.blogspot.com/-LAU-B6tA-7I/VGC9J4kvvAI/AAAAAAAGwaI/lUtWESi1ZXg/s1600/pinda%2Bmizengo.jpg)
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumatatu, Novemba 10, 2014) wakati akifungua warsha ya siku tatu ya kuwajengea uwezo Mameya, Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya na Manispaa za Miji kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara.
“Sasa hivi hapa nchini tuna tatizo la ukuaji mkubwa wa miji yetu na Dar es Salaam ni mmojawapo. Hakuna...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-kwRBb2OprEk/VItOQzKa4PI/AAAAAAAG23s/QS4Prxq0XAk/s72-c/unnamed%2B(36).jpg)
Mabalozi mbalimbali wakisaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein
![](http://2.bp.blogspot.com/-kwRBb2OprEk/VItOQzKa4PI/AAAAAAAG23s/QS4Prxq0XAk/s1600/unnamed%2B(36).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Q8cmQgYykoU/VItORO4d98I/AAAAAAAG23o/zJ2v5sikeOw/s1600/unnamed%2B(37).jpg)