Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA AWAFUNGIA NDANI WANAYE 3 KWA MIAKA 10

Na Haruni Sanchawa, Mafia
NI mambo ya kushangaza sana ambayo yamenaswa na Gazeti la Uwazi  katika Kisiwa cha Mafia Mkoa wa Pwani ambapo mwanamke mmoja aitwaye Mwasiti Ally wa Kijiji cha Kanga, amewafungia wanaye watatu kwa miaka kumi ndani ya chumba kimoja kwa madai kuwa ni wagonjwa wa akili. Mtoto Ally Juma ni mmoja kati ya watoto wa wanodaiwa kufungiwa ndani kwa miaka 10 na mama yao mzazi Mwasiti Ally (pichani). Uwazi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

HUYU NDIYE MTOTO ALIYEFUNGIWA NDANI YA BOKSI KWA MIAKA MINNE NA MAMA YAKE MLEZI ILI ASIMWAMBUKIZE VIRUSI VYA UKIMWI

Mtoto wa miaka minne (jina limehifadhiwa), amedhulumiwa haki yake ya utu na kuteswa kwa zaidi ya miaka mitatu, kwa kufungiwa ndani ya boksi kama mnyama, ili asimuambukize mama mlezi virusi vinavyosababisha Ukimwi.

Unyama huo wa kusikitisha, umefanyika muda wote huo kwa mtoto huyo Morogoro mjini katika mtaa wa Azimio bila kuripotiwa popote, huku wakazi na majirani wa nyumba hiyo wakisikia akikohoa na kulia usiku, na baba yake mzazi akiendelea na maisha kwa kumuogopa mkewe.
Wakizungumza na...

 

10 years ago

GPL

MAMA AWAKIMBIA WANAYE WENYE KIFAFA

Bw. Nabo Philipo aliyekimbiwa na mkewe. HILI nalo ni tukio! Mwanaume mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Nabo Philipo ameibuka na kudai kuwa, mkewe Mariana Thomas Silayo (pichani) amekimbia nyumbani na kumwachia watoto wawili wenye ugonjwa wa kifafa. Akizungumza kwa uchungu na gazeti hili hivi karibuni, Nabo alisema alifunga ndoa na Mariana mwaka 2002 na kujaliwa kupata watoto wawili, Madelin  na Joyce Nabo na ndani ya miaka...

 

10 years ago

Mwananchi

Mama asoma shule ya msingi na wanaye watatu

Kipindi cha nyuma hapakuweko na utaratibu wa kuandikisha wananfunzi wenye umri mkubwa darasa la kwanza, kutokana na hali hiyo wanafunzi wengi walijikuta wanaishia kukaa nyumbani ama kurudishwa nyumbani kutokana na umri wao kuwa mkubwa.

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI YA KUSIKITISHA YA MAMA ALIVYOUA WANAYE WAWILI

Stori: Mwandishi Wetu, Tabora/Amani
BADO hali ni tete kufuatia mwanamke mmoja, Zuhura Sudi (26), mkazi wa Mtaa wa Utusi Kata ya Chemchemi Manispaa ya Tabora kudaiwa kuwaua kwa kuwakaba shingo watoto wake wawili, Mwamvua (6) na Sudi Mrisho (miezi saba) kisha kuwazika kwenye mashimo mawili ndani ya nyumba. Mwanamke ( Zuhura Sudi) anayetuhumiwa… ...

 

10 years ago

GPL

WA 3 WALIOFUNGIWA NDANI MIAKA 10 NA MAMA YAO MMOJA AFARIKI DUNIA

Na Haruni Sanchawa
Katika Gazeti la Uwazi Toleo Na. 893 wiki iliyopita, kuliandikwa habari ya kusikitisha yenye kichwa kisemacho; MAMA AWAFUNGIA NDANI WANAYE 3 KWA MIAKA 10. Ni habari ambayo ilizua gumzo kubwa nchini kutokana na mazingira yake kuwa ya kushtua. Marehemu Ally Juma enzi za uhai wake. Baada ya habari hiyo kutoka ambayo ilikuwa na lengo la kuisaidia familia hiyo, sasa habari mpya ni kwamba, mmoja wa watoto hao,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Baba mbaroni kwa kutesa wanaye

MATESO Hassan Mkazi wa Kijiji cha Karago, Kata ya Sunuka Wilaya ya Uvinza mkoani hapa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kuwafungia ndani watoto wake wanne...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mchungaji wa kanisa akamatwa kwa tuhuma ya kumficha ndani mtoto wake kwa miaka 12

IMG_1239

Kijana mkazi wa kijiji cha Itaja tarafa ya Mgori wilayani Singida, Timotheo David (30), akiwa amelazwa wodi namba nne hospitali ya mkoa wa Singida baada ya kuletwa na jeshi la polisi siku mbili zilizopita. Inadaiwa kuwa Timotheo baada ya kuugua Malaria kali mwaka 2003 na kuchanganyikiwa akili, alifungiwa ndani chumbani toka wakati huo hadi juzi alipotolewa na polisi na kuletwa hospitalini. Kwa mujibu wa Kaimu Mganga mfawidhi hospitali ya mkoa, Dk.Napaiya Petro, Timotheo hana ugonjwa wo wote...

 

10 years ago

GPL

MAMA MBARONI KWA KUMFUNGIA MWANAYE NDANI

Stori: Haruni Sanchawa
Tukisema dunia imekwisha,tutakuwa hatujafanya makosa maana matukio ya utesaji, unyayasaji na ukatili kwa watoto wachanga yamekuwa yakichukua kasi  kubwa ndani ya jamii. Mtuhumiwa Bhoke Steven (21) anayedaiwa kumfungia ndani mwanaye anayejulikana kwa jina la Steven Amos (miezi 10). Hivi karibuni mama mmoja, Bhoke Steven (21) (pichani), mkazi wa Kitunda, wilayani Ilala, Dar es Salaam amejikuta matatani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani