Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA AWAKIMBIA WANAYE WENYE KIFAFA

Bw. Nabo Philipo aliyekimbiwa na mkewe. HILI nalo ni tukio! Mwanaume mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Nabo Philipo ameibuka na kudai kuwa, mkewe Mariana Thomas Silayo (pichani) amekimbia nyumbani na kumwachia watoto wawili wenye ugonjwa wa kifafa. Akizungumza kwa uchungu na gazeti hili hivi karibuni, Nabo alisema alifunga ndoa na Mariana mwaka 2002 na kujaliwa kupata watoto wawili, Madelin  na Joyce Nabo na ndani ya miaka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SIMULIZI YA KUSIKITISHA YA MAMA ALIVYOUA WANAYE WAWILI

Stori: Mwandishi Wetu, Tabora/Amani
BADO hali ni tete kufuatia mwanamke mmoja, Zuhura Sudi (26), mkazi wa Mtaa wa Utusi Kata ya Chemchemi Manispaa ya Tabora kudaiwa kuwaua kwa kuwakaba shingo watoto wake wawili, Mwamvua (6) na Sudi Mrisho (miezi saba) kisha kuwazika kwenye mashimo mawili ndani ya nyumba. Mwanamke ( Zuhura Sudi) anayetuhumiwa… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Mama asoma shule ya msingi na wanaye watatu

Kipindi cha nyuma hapakuweko na utaratibu wa kuandikisha wananfunzi wenye umri mkubwa darasa la kwanza, kutokana na hali hiyo wanafunzi wengi walijikuta wanaishia kukaa nyumbani ama kurudishwa nyumbani kutokana na umri wao kuwa mkubwa.

 

10 years ago

GPL

MAMA AWAFUNGIA NDANI WANAYE 3 KWA MIAKA 10

Na Haruni Sanchawa, Mafia
NI mambo ya kushangaza sana ambayo yamenaswa na Gazeti la Uwazi  katika Kisiwa cha Mafia Mkoa wa Pwani ambapo mwanamke mmoja aitwaye Mwasiti Ally wa Kijiji cha Kanga, amewafungia wanaye watatu kwa miaka kumi ndani ya chumba kimoja kwa madai kuwa ni wagonjwa wa akili. Mtoto Ally Juma ni mmoja kati ya watoto wa wanodaiwa kufungiwa ndani kwa miaka 10 na mama yao mzazi Mwasiti Ally (pichani). Uwazi...

 

10 years ago

Mtanzania

Justin Beiber awakimbia mapaparazi

NA BADI MCHOMOLO

NYOTA wa muziki nchini Marekani, Justin Beiber, amesema kwa sasa atakuwa mbali na waandishi wa habari kwa kuwa wanatangaza habari ambazo haziko sahihi.

Beiber amesema kuna wakati anakuwa na wakati mgumu wa kujibu maswali ya waandishi wa habari kwa kuwa anakutana nao mara kwa mara.

“Kwa sasa naona bora nikae mbali na waandishi wa habari kwa kuwa wananichosha, kila nikikutana nao wananiuliza maswali na kuna wakati mwingine nashindwa kuongea lolote kutokana na maswali...

 

11 years ago

Habarileo

Walaji ‘kitimoto’ kupata kifafa

Profesa Faustine LekuleCHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ni akina mama au wasichana wenye bidii?

Utafiti mpya unasema kuwa wanawake waliojifungua wanafanya kazi zaidi ya wasichana wasio na watoto.

 

10 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWATAKA WANANCHI KUCHAGUA VIONGOZI WAADILIFU NA WENYE SIFA

Na Anna Nkinda – Lindi
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete amewataka wakazi wa Kata ya Ng’apa wilaya ya Lindi mjini kuchagua viongozi waadilifu na wenye sifa ambao watawaongoza wananchi kusimamia shughuli za maendeleo yao.
Mama Kikwete ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini alitoa rai hiyo jana wakati akiongea na wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa Wenyeviti na Wajumbe wa Serikali za mitaa uliofanyika katika...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE WENYE UGONJWA WA FISTULA KUJITOKEZA NA KWENDA KUPATA MATIBABU

Na Anna Nkinda – Maelezo aliyekuwa Lindi
Wanawake wenye tatizo la ugonjwa wa Fistula wametakiwa kutokuogopa na kukaa kimya bali wajitokeze  hadharani kwa kwenda Hospitali kupata matibabu  au kuwaambia viongozi wao ili waweze kuwasaidia kwani ugonjwa huo unatibika na matibabu yake ni bure.
Rai hiyo imetolewa  hivi karibuni na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwa nyakati tofauti na viongozi wa...

 

10 years ago

GPL

BABA MZAZI AKESHA AKIBAKA WANAYE!

Stori: Joseph Ngilisho, Arusha
USHETANI! Watoto wa kike wawili wenye umri wa miaka 8 na 14, wakazi wa Unga Limited jijini hapa, wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa Mount Meru baada ya kuharibiwa vibaya sehemu zao za siri kwa madai ya kulawitiwa na kubakwa na baba yao mzazi waliyemtaja kwa jina moja la Ezekiel, Uwazi linakupa zaidi. Watoto wanaodaiwa kubakwa na baba yao. Akizungumza na gazeti hili kwa tabu hospitalini hapo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani