Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni akina mama au wasichana wenye bidii?

Utafiti mpya unasema kuwa wanawake waliojifungua wanafanya kazi zaidi ya wasichana wasio na watoto.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mama Tunu Pinda Mgeni rasmi katika Mkutano wa akina mama wa Kitanzania waishio Uingereza

Mama Tunu Pinda alikuwa Mgeni rasmi katika Mkutano cha akina mama wa Kitanzania waishio Uingereza , Kilichoandaliwa na Kikundi cha Umoja wa Wanawake kiitwacho Tanzania Women Association UK (TAWA UK).
Mama Tunu Pinda alihudhuria Mkutano huo kwa mualiko wa mwenyeji wake Mrs Joyce Kallaghe Mke wa Balozi wa Tanzania Uk, Peter Kallaghe.
Mtoa mada aliyeongozana na Mama Tunu , alikuwa ni Mama Anna Matinde , mwanamke Mjasiriamali mahiri na aliyebobea ambaye ana kofia mbalimbali za Uwakilishi wa...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI UPIMAJI WA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI KWA AKINA MAMA HAPA NCHINI.

 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akizindua rasmi upimaji wa saratani ya  mlango wa kizazi wakati wa kilele cha siku ya wanawake duniani katika sherehe iliyofanyika katika uwanja wa Nyamagana huko Mwanza  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete mara baada ya kuzindua rasmi upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi aliwakabidhi Waganga wakuu wa mikoa ya Mwanza, Iringa, Mbeya na Mara vifaa  vya kupima saratani hiyo. Pichani Mama Salma Kikwete...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AKABIDHI MASHINE YA KUPIMIA SARATANI YA MATITI KWA AKINA MAMA HOSPITALI KUU YA JESHI LUGALO

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akikabidhi mashine ya kupimia saratani ya matiti kwa akina mama kwa uongozi kwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kulia). Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika kwenye Hospitani Kuu ya Jeshi Lugalo kwenye Kitengo cha Uzazi na Mtoto kilichoko Mwenge tarehe 27.2.2015. Aliyesimama pembeni kwa Mama Salma ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando na aliyesimama kulia kwa...

 

9 years ago

Michuzi

PANAFRICAN ENERGY YAFADHILI UJENZI WA WODI YA ‘MAMA NGONJEA’ HOSPITALI YA WILAYA KINYONGA KILWA KIVINJE NA KUKARABATI WODI ZA UZAZI NA CHUMBA MAALUM CHA UANGALIZI WA AKINA MAMA

Meneja Uwajibikaji kwa jamii kutoka Kampuni ya PanAfrican Energy Andrew  Kangashaki  (kushoto ) na Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Twalib Mbasha wakikabidhiana mkataba wa miradi  ya ujenzi wa nyumba ya mama ngojea  katika hospital ya Kinyonga  na ukarabati wa wodi  ya uzazi  mara baada ya kumaliza kusaini mikataba hiyo katika hafla fupi iliyofanyika jana Kilwa Kivinje.Meneja Uwajibikaji kwa jamii kutoka Kampuni ya PanAfrican Energy Andrew  Kangashaki(wa tatu kushoto) pamoja na Mkurugenzi...

 

10 years ago

Habarileo

Mama Salma ataka Lindi wafanye kazi kwa bidii

WAKAZI wa Mkoa wa Lindi wametakiwa kushikamana kwa pamoja, kufanya kazi kwa bidii na kuzitumia rasilimali zilizopo ili kujiletea maendeleo.

 

10 years ago

GPL

MATATIZO YA UZAZI KWA AKINA MAMA

Akina mama wana matatizo mengi, mojawapo  kubwa linalowasumbua ni tatizo la kutokushika ujauzito.
Mwanamke kushindwa kupata ujauzito kwa kipindi cha ndani ya mwaka mmoja au zaidi ya mwaka  mmoja wakati mwanaume na mwanamke wanakutana kwa muda unaotakiwa na bila kutumia njia za kuzuia mimba ni tatizo. Kuna aina mbili ya tatizo hili moja hujulikana  zaidi kwa jina la primary infertility. Hii humaanisha  kuwa mwanamke...

 

5 years ago

Michuzi

AKINA MAMA WAPATA HAMU YA KUZAA NYASA






Akina mama Wilayani Nyasa wakimshukuru mbunge wa Nyasa Mhandisi Stela Manyanya kwa kuwakabidhi gari ya kubebea wagonjwa katika kituo cha afya Mbamba-bay, Wilayani Nyasa, keroiliyokuwa ikiwasumbua kwa muda mrefu.Gari imetolewa na serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa utamaduni wa kabila la Wanyasa Kulala chini ni kushukuru kupita kiasi.(Picha na Ofisi ya Mkurugenzi Nyasa)

…………………………………………………………………………………..

Akina mama wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma wamesema...

 

11 years ago

GPL

AKINA MAMA WAPATIWA MATIBABU SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI

AKINA mama  wakazi wa Wilaya ya Bahi mkoani hapa, leo (Jumatatu) watapatiwa huduma ya bure ya matibabu ya saratani ya shingo ya kizazi wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuwagundua wanawake wenye tatizo hilo katika hatua za awali kwenye tukio ambalo mgeni rasmi atakuwa mke wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete. Mke wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete. Katika taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani