Justin Beiber awakimbia mapaparazi
NA BADI MCHOMOLO
NYOTA wa muziki nchini Marekani, Justin Beiber, amesema kwa sasa atakuwa mbali na waandishi wa habari kwa kuwa wanatangaza habari ambazo haziko sahihi.
Beiber amesema kuna wakati anakuwa na wakati mgumu wa kujibu maswali ya waandishi wa habari kwa kuwa anakutana nao mara kwa mara.
“Kwa sasa naona bora nikae mbali na waandishi wa habari kwa kuwa wananichosha, kila nikikutana nao wananiuliza maswali na kuna wakati mwingine nashindwa kuongea lolote kutokana na maswali...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania28 Nov
Justin Beiber: Pini zake zamrudisha Selena
HAKUNA uhusiano ambao ulipendeza kwa watu maarufu hasa kwenye tasnia ya muziki nchini Marekani kama ilivyo kwa Chris Brown na aliyekuwa mpenzi wake Rihanna.
Uhusiano wao ulipendeza kutokana na wawili hao kuwa na umri mdogo huku wakifanya vizuri katika muziki, walianza kuwa katika uhusiano mwaka 2007 ambapo Chris aliachia wimbo wake ambao ulijulikan kwa jina la ‘With You’ Baada ya Chris kuachia wimbo huo, Rihanna alikuwa hana jinsi kwa kuwa ulimgusa sana na kushindwa kuzuia hisia zake na...
10 years ago
GPLMAMA AWAKIMBIA WANAYE WENYE KIFAFA
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Kisa mapaparazi, Kylie apata ajali
LOS ANGELES, MAREKANI
MPENZI wa mkali wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Tygar, Kylie Jenner, amesema hana urafiki na waandishi wa habari nchini humo kwa kuwa walimsababishia ajali.
Mrembo huyo amesema hana amani kila akiwa katika matembezi yake ya kawaida kwa kuwa waandishi wa habari wanamzonga mara kwa mara.
Hata hivyo, mwezi uliopita alikutana na waandishi wa habari akaanza kuwakimbia na gari yake na kusababisha ajali wakati anawakimbia waandishi hao.
“Siwezi kuwa na urafiki na...
11 years ago
Bongo522 Jul
Kanye na Kim watumia tshs mil 835 kupata mtoto anayefanana na North West ili kujihami na mapaparazi
9 years ago
Bongo531 Aug
Video: Justin Bieber — What Do You Mean
9 years ago
Bongo523 Oct
Music: Justin Bieber — Sorry
9 years ago
Bongo529 Aug
New Music: Justin Bieber — What Do You Mean?
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j52o*TELl6H4NjrpMV5ziXgchRA6tu6Rp-UW-rivUkiOILcimEfsos7H8vJ3BW3*2qnjO7L73VQEuJvIjZcCpgFJdnpJyec-/Justin_Bieber.jpg?width=650)
JUSTIN BIEBER AUMBUKA JUKWAANI
9 years ago
Bongo503 Nov
Video: Justin Bieber — I’ll Show You
![justin-bieber-ill-show-you](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/justin-bieber-ill-show-you-94x94.jpg)