Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WA 3 WALIOFUNGIWA NDANI MIAKA 10 NA MAMA YAO MMOJA AFARIKI DUNIA

Na Haruni Sanchawa
Katika Gazeti la Uwazi Toleo Na. 893 wiki iliyopita, kuliandikwa habari ya kusikitisha yenye kichwa kisemacho; MAMA AWAFUNGIA NDANI WANAYE 3 KWA MIAKA 10. Ni habari ambayo ilizua gumzo kubwa nchini kutokana na mazingira yake kuwa ya kushtua. Marehemu Ally Juma enzi za uhai wake. Baada ya habari hiyo kutoka ambayo ilikuwa na lengo la kuisaidia familia hiyo, sasa habari mpya ni kwamba, mmoja wa watoto hao,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWINGINE AFARIKI DUNIA! WALIOFUNGIWA NDANI MIAKA 10

Na Haruni Sanchawa
BINTI Muhadia Juma ambaye alikuwa mmoja wa watoto watatu waliofungiwa ndani ya nyumba kwa miaka kumi na mama yao mzazi, Mwasiti Ally katika Kijiji cha Kanga, wilayani Mafia amefariki dunia Aprili 15, mwaka huu.Huyu ni kijana wa pili kufariki dunia baada ya  Ally Juma kuaga dunia hivi karibuni na kufanya aliyebaki hai kuwa mmoja, Mzee Juma. Mwili wa Muhadia Juma ukizikwa. Muhadia alichukuliwa kijijini kwao...

 

10 years ago

GPL

WATOTO 3 WALIOFUNGIWA MIAKA 10 NA MAMA YAO MWINGINE TAABANI

Na Haruni Sanchawa
LILE sakata la  mama kuwafungia ndani watoto wake kwa miaka miaka 10 limechukua sura mpya baada ya mkuu wa wilaya hiyo ya Mafia kwenda Kijiji cha Kanga na kumchukua mmoja wa waliofungiwa, Muhadia Ally (pichani juu) ambaye hali yake bado ni mbaya na kumpeleka hospitali ya wilaya. Muhadia Ally akiwa hospitali. Habari za mama mmoja kuwafungia ndani watoto wake zimeandikwa mfululizo na gazeti hili kuanzia...

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaingia Morogoro, mmoja afariki dunia

Wakazi wa Kata ya Mindu Manispaa ya Morogoro wamekumbwa na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu  ambapo hadi sasa mtu mmoja ameripotiwa kufa na hivyo kuzua hofu kwa wakazi  wa eneo hilo na manispaa kwa ujumla.

 

10 years ago

GPL

MMOJA WA WAANDAMANAJI AFARIKI DUNIA NCHINI BURUNDI

Waandamanaji nchini Burundi wakifanya vurugu kupinga hatua ya Rais Pierre Nkurunziza kuwania urais wa awamu ya tatu. Raia mmoja amefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa katika maandamano yanayoendelea kupamba moto nchini Burundi kupinga hatua ya Rais Pierre Nkurunziza kuwania urais kwa muhula wa tatu. Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza anayetarajia kuwania urais wa awamu ya tatu nchini… ...

 

11 years ago

GPL

MASKINI! MAMA ALIYEJIFUNGUA MAPACHA 4, MMOJA AFARIKI

Yule mama aliyejifungua mapacha wanne katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar, amepata pigo baada ya mmoja kufariki!

 

11 years ago

CloudsFM

LANGA ATIMIZA MWAKA MMOJA TANGU AFARIKI DUNIA

Tarehe kama ya leo mwaka jana,msanii wa Hip Hop, Langa Lileo, rais wa gheto mida ya jioni alitangazwa kuwa amefariki dunia, kwa mujibu wa ripoti ya hospitali msanii huyo alikuwa anasumbuliwa na malaria kali, alilazwa siku moja katika hospitali ya taifa Muhimbili siku ya pili yake ndiyo akafariki. Safari ya Langa kimuziki ilianzia kwenye shindano la kusaka vipaji la Coca-Cola Pop Stars mwaka 2004, na wakapatikana washindi watatu wakaunda kundi la Wakilisha alikuwemo Langa, Shaa, na Witness,...

 

11 years ago

GPL

MMOJA AFARIKI DUNIA, WATANO WAJERUHIWA AJALINI TARIME LEO

Dereva wa basi la Zakaria Express, Mbaraka Shamsi (35) mkazi wa Magu akiwa hospitali baada ya ajali. Roberty Nashoni (48) ambaye…

 

9 years ago

Dewji Blog

Mtoto wa mwaka mmoja afariki dunia baada ya kutumbukia Kisimani Mbeya

msangi rp

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi.

Na Emanuel Madafa, Mbeya

Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi saba  Promis Dank mkazi wa bwawani wilaya ya Chunya amefariki dunia njiani akiwa anapelekwa hospitali baada ya kutumbukia kisimani.

Tukio hilo limetokea Novemba  112  majira ya saa 12 asubuhi huko kitongoji cha Railway,  kata ya Bwawani, wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya.

Inadaiwa kuwa, mtoto huyo baada ya kutumbukia kwenye kisima hicho ambacho kilikuwa wazi, aliokolewa akiwa hai...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani