Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA MBARONI KWA KUMFUNGIA MWANAYE NDANI

Stori: Haruni Sanchawa
Tukisema dunia imekwisha,tutakuwa hatujafanya makosa maana matukio ya utesaji, unyayasaji na ukatili kwa watoto wachanga yamekuwa yakichukua kasi  kubwa ndani ya jamii. Mtuhumiwa Bhoke Steven (21) anayedaiwa kumfungia ndani mwanaye anayejulikana kwa jina la Steven Amos (miezi 10). Hivi karibuni mama mmoja, Bhoke Steven (21) (pichani), mkazi wa Kitunda, wilayani Ilala, Dar es Salaam amejikuta matatani...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

INSPEKTA WA POLISI MBARONI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MWANAYE

Jeshi la Polisi linamshikilia Inspekta wake, Celestine Makene (40) kwa madai ya kumpiga hadi kumsababishia kifo mtoto wa kaka yake, Alerd Makene (16).

Makene anadaiwa kutenda kosa hilo Julai 24, mwaka huu katika makazi ya polisi, Mtoni Kijichi, Dar es Salaam na anashikiliwa katika Kituo cha Chang’ombe.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Kihenya wa Kihenya alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema marehemu Alerd alikuwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Mbagala...

 

11 years ago

KwanzaJamii

INSPEKTA WA POLISI MBARONI KWA TUHUMA ZA KUUA MWANAYE

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi linamshikilia Inspekta wake, Celestine Makene (40) kwa madai ya kumpiga hadi kumsababishia kifo mtoto wa kaka yake, Alerd Makene (16). Makene anadaiwa kutenda kosa hilo Julai 24, mwaka huu katika makazi ya polisi, Mtoni Kijichi, Dar es Salaam na anashikiliwa katika Kituo cha Chang’ombe. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Kihenya wa Kihenya alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema marehemu Alerd alikuwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya...

 

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Inspekta wa Polisi mbaroni kwa tuhuma za kuua mwanaye

>Jeshi la Polisi linamshikilia Inspekta wake, Celestine Makene (40) kwa madai ya kumpiga hadi kumsababishia kifo mtoto wa kaka yake, Alerd Makene (16).

 

9 years ago

Mwananchi

Mama amchoma mwanaye kwa maji moto

Polisi mkoa wa Mara inamshikilia mwananke mmoja (jina tunalo) mkazi wa Bweri Manispaa ya Musoma kwa kosa la kumchoma mtoto wake mwenye miaka minne, kwa maji ya moto, mikono yote miwili baada ya kumtuhumu kuwa ameiba nyama jikoni.

 

10 years ago

Mwananchi

Mama mzazi adaiwa kumuuza mwanaye kwa Sh70,000

Monduli. Mkazi mmoja wa Kijiji cha Nanja, Kata ya Lepruko, wilayani Monduli, anadaiwa kumuuza mtoto wake wa kumzaa kwa mtu mwingine kwa Sh70,000 kwa madai kuwa ana maisha magumu.

 

10 years ago

GPL

MCHUGAJI MBARONI KUMCHINJA MWANAYE

Mwandishi wetu
DUNIA ina mambo! Mchungaji wa kanisa moja mjini Harare nchini Zimbabwe, ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amekamatwa na polisi baada ya kukutwa akitaka kumuua mwanaye wa kumzaa kwa kumchinja na kisu shingoni, kitendo alichokifanya nyumbani kwake mwishoni mwa wiki iliyopita. Mchungaji akiwa chini ya ulinzi. Mchungaji huyo ambaye hata hivyo hakueleweka ni wa kanisa gani, akiwa amevaa nguo zake za...

 

11 years ago

Habarileo

Mbaroni kwa kuuza nguo za ndani

BAADHI ya wafanyabiashara katika masoko makubwa ya Memorial mjini Moshi, Unga Limited na Usa River mkoani Arusha wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuendelea kuuza nguo za ndani za mitumba zilizopigwa marufuku kutokana na kuwa na madhara kiafya.

 

11 years ago

GPL

MBARONI KWA KUMCHOMA MAMA’KE BISIBISI

Stori:  Chande Abdallah na Denis Mtima Kisanga! Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Jumanne (28), ametiwa mbaroni na polisi kwa msala wa kumchoma kwa bisibisi mama’ke mzazi aitwaye Habiba Said au Mama Nyamsati na kumsababishia majeraha makubwa kichwani. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri hivi karibuni, maeneo ya Temeke-Pire jijini Dar ambapo Jumanne alidaiwa kutenda unyama huo kwa kumshambulia mama’ke kwa fimbo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani