Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbaroni kwa kuuza nguo za ndani

BAADHI ya wafanyabiashara katika masoko makubwa ya Memorial mjini Moshi, Unga Limited na Usa River mkoani Arusha wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuendelea kuuza nguo za ndani za mitumba zilizopigwa marufuku kutokana na kuwa na madhara kiafya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

30 mbaroni kwa kuuza nguo za ndani za mitumba

WAFANYABIASHARA 30 wa nguo za ndani za mitumba wa jijini Arusha wamekamatwa kwa kufanya biashara hiyo kinyume cha sheria.

 

10 years ago

GPL

MAMA MBARONI KWA KUMFUNGIA MWANAYE NDANI

Stori: Haruni Sanchawa
Tukisema dunia imekwisha,tutakuwa hatujafanya makosa maana matukio ya utesaji, unyayasaji na ukatili kwa watoto wachanga yamekuwa yakichukua kasi  kubwa ndani ya jamii. Mtuhumiwa Bhoke Steven (21) anayedaiwa kumfungia ndani mwanaye anayejulikana kwa jina la Steven Amos (miezi 10). Hivi karibuni mama mmoja, Bhoke Steven (21) (pichani), mkazi wa Kitunda, wilayani Ilala, Dar es Salaam amejikuta matatani...

 

11 years ago

CloudsFM

WAGANGA WANAOWATIBU WATEJA WAO KWA KUFANYA NAO NGONO WAKAMATWA, WAKUTWA NA NGUO ZA NDANI 22 ZA WANAWAKE HAO

Polisi Mkoa wa Kinondoni, imewakamata vijana wawili wanaodaiwa kujifanya waganga wanaotoa tiba kwa wanawake, ambao masharti yake ni kushiriki nao ngono bila kinga na kuacha nguo za ndani, ili zifanyiwe dawa zaidi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alidai vijana hao Juma Hemedi (32) na Abrahman Mulsin, wote wakazi wa Tandika, baada ya kushiriki ngono na wagonjwa wao huwaambia waache nguo za ndani.

Kamanda Kiondo...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbaroni akidaiwa kuuza nyama ya binadamu

Mkazi wa Kijiji cha Kihinga, Kata ya Bugarama wilayani Ngara mkoani Kagera(jina tunalo), anashikiliwa katika kituo kidogo cha polisi cha kata hiyo baada ya kutuhumiwa kuuza kilo moja ya nyama ya binadamu kwa Sh100,000.

 

10 years ago

Vijimambo

Mbaroni wakidaiwa kuuza mfupa wa albino milioni 3/-

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe.
Jeshi la Polisi mkoani Kagera, limewatia mbaroni watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na mifupa ya viungo vya mwanamke mwenye ulemavu wa ngozi

(albino), Zeulia Justus, aliyefariki dunia mwaka 2006 baada ya kujifungua mtoto katika kijiji cha Rushwa Kata Mshabago Tarafa ya Nshamba Wilaya ya

Muleba, mkoani Kagera.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe, aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni James Lutozi (66) na Emmanuel Karoli (50), wakazi wa...

 

11 years ago

Michuzi

watu watatu mbaroni kwa kukutwa na bangi ndani ya basi la new force dodoma

 Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia abiria wa tatu waliokuwa wakisafiri na Basi la New Force kutoka Kahama kuelekea Jijini Dar es Salaam.Kwa Mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime, wamekamatwa leo mchana wakiwa wanasafirisha Debe ishirini za bangi.Wanaoshikiliwa ni Kevin Prospar(aliyekaa pichani kulia),Joseph Charles (aliyekaa kulia) na John Joseph(aliye kaa katikati)  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime kushoto akikagua bangi iliyo kamatwa.
Basi la...

 

11 years ago

Habarileo

Nguo za ndani zaingizwa kinyemela

NGUO za ndani za mtumba zinazouzwa hivi sasa katika masoko mbalimbali hapa nchini zimeingia hapa nchini kwa njia haramu hivyo wauzaji wadogo wanapaswa kuwataja mawakala wakubwa wanaoingiza nguo hizo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mitumba ya nguo za ndani yazagaa TZ

Licha ya kupigwa marufuku nguo za ndani za mitumba nchini Tanzania kutokana na sababu za kiafya, bado biashara inaonekana kunawiri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani