Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nguo za ndani zaingizwa kinyemela

NGUO za ndani za mtumba zinazouzwa hivi sasa katika masoko mbalimbali hapa nchini zimeingia hapa nchini kwa njia haramu hivyo wauzaji wadogo wanapaswa kuwataja mawakala wakubwa wanaoingiza nguo hizo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Nguo za ndani zinazowalinda wanaume

Kampuni moja imezidnua nguo za ndani za wanaume zinzzoweza kuwalinda wanaume kutokana na madini hatari yanaweza kuathiri kizazi chao

 

11 years ago

BBCSwahili

Mitumba ya nguo za ndani yazagaa TZ

Licha ya kupigwa marufuku nguo za ndani za mitumba nchini Tanzania kutokana na sababu za kiafya, bado biashara inaonekana kunawiri.

 

10 years ago

Habarileo

Biashara ya nguo za ndani Zanzibar

BIASHARA ya nguo za ndani za mitumba, imeendelea visiwani hapa licha ya Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko, kuagiza biashara hiyo isitishwe mara moja.

 

10 years ago

GPL

KAJALA AIBIWA NGUO YA NDANI KIUCHAWI

Imelda mtema
MAUZAUZA! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ amepatwa na dhahama ya aina yake baada ya kuibiwa nguo yake ya ndani kimazingara kisha kuikuta nje ikiwa imeloa damu, Ijumaa lina mchapo kamili.
Kwa mujibu wa chanzo makini, mara nyingi Kajala ana kawaida ya kufua na kuzianika nguo hizo ndani lakini katika mazingira ya kutatanisha moja ilipotea na kila alipofanya jitihada za kuitafuta, hakuiona....

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBS kuwasaka waingizaji wa nguo za ndani

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) litafanya operesheni ya kuwasaka wale wote wanaoingiza nguo za ndani za mitumba nchini. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili jana, Ofisa Mahusiano wa TBS, Roida Andusamile,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nguo za ndani za mitumba zinauzwa Uganda

Nguo kuukuu au mitumba bado ni za bei nafuu hususan kwa walala hoi nchini Uganda na maeneo mengine ya Afrika Mashariki.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nguo za ndani za mitumba bado Uganda

Nguo kuukuu au mitumba bado ni za bei nafuu hususan kwa walala hoi nchini Uganda na maeneo mengine ya Afrika Mashariki.

 

11 years ago

Habarileo

Mbaroni kwa kuuza nguo za ndani

BAADHI ya wafanyabiashara katika masoko makubwa ya Memorial mjini Moshi, Unga Limited na Usa River mkoani Arusha wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuendelea kuuza nguo za ndani za mitumba zilizopigwa marufuku kutokana na kuwa na madhara kiafya.

 

11 years ago

Mwananchi

TBS yakamata shehena ya nguo za ndani

>Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limekamata shehena ya marobota ya nguo za ndani za mitumba ambazo thamani yake haijajulikana kwa kuwa zimechangaywa na nguo za watoto.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani