TBS kuwasaka waingizaji wa nguo za ndani
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) litafanya operesheni ya kuwasaka wale wote wanaoingiza nguo za ndani za mitumba nchini. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili jana, Ofisa Mahusiano wa TBS, Roida Andusamile,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Jun
TBS yakamata shehena ya nguo za ndani
11 years ago
Habarileo01 Feb
Wauza nguo za ndani mitumba waizidi ujanja TBS
WAFANYABIASHARA wa nguo za ndani zilizo hafifu maarufu kama mitumba jijini Mbeya, jana waliwazidi ujanja maofisa wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kuficha nguo hizo wakati wa operesheni ya kuzikusanya na kuwakamata wauzaji.
10 years ago
Tanzania Daima18 Oct
TBS iangalie ubora nguo za dukani
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limepiga marufuku matumizi ya nguo za ndani za mitumba kutokana na athari zake kiafya kwa watumaji. Kutokana na hatua hiyo ni ishara kuwa shirika hilo...
10 years ago
Mwananchi29 Sep
TBS: Wananchi acheni kununua nguo mitumba
10 years ago
BBCSwahili12 Dec
Nguo za ndani zinazowalinda wanaume
10 years ago
Habarileo16 Aug
Biashara ya nguo za ndani Zanzibar
BIASHARA ya nguo za ndani za mitumba, imeendelea visiwani hapa licha ya Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko, kuagiza biashara hiyo isitishwe mara moja.
11 years ago
BBCSwahili22 Jan
Mitumba ya nguo za ndani yazagaa TZ
11 years ago
Habarileo27 Jan
Nguo za ndani zaingizwa kinyemela
NGUO za ndani za mtumba zinazouzwa hivi sasa katika masoko mbalimbali hapa nchini zimeingia hapa nchini kwa njia haramu hivyo wauzaji wadogo wanapaswa kuwataja mawakala wakubwa wanaoingiza nguo hizo.