Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TBS: Wananchi acheni kununua nguo mitumba

>Shirika la Viwango (TBS) limewataka wananchi kutonunua nguo za ndani za mtumba ili kuua soko la bidhaa hizo zenye athari kiafya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wauza nguo za ndani mitumba waizidi ujanja TBS

WAFANYABIASHARA wa nguo za ndani zilizo hafifu maarufu kama mitumba jijini Mbeya, jana waliwazidi ujanja maofisa wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kuficha nguo hizo wakati wa operesheni ya kuzikusanya na kuwakamata wauzaji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBS: Operesheni mitumba ni ya kisheria

SHIRIKA la Viwango nchini (TBS) limesema linatekeleza operesheni ya kuondoa nguo za ndani za mitumba kwa kufuata sheria, si kwa ajili ya kuwanufaisha wafanyabiashara wa maduka nchini. Akizungumza na Tanzania...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBS yateketeza marobota ya mitumba

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, limeendesha operesheni maalumu katika masoko makubwa ya nguo za mitumba katika miji ya Moshi na Arusha yanayodaiwa kuwa wauzaji...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mitumba ya nguo za ndani yazagaa TZ

Licha ya kupigwa marufuku nguo za ndani za mitumba nchini Tanzania kutokana na sababu za kiafya, bado biashara inaonekana kunawiri.

 

11 years ago

AllAfrica.Com

TBs War On 'Mitumba' Underwear Spreads to Arusha


IPPmedia
TBs War On 'Mitumba' Underwear Spreads to Arusha
AllAfrica.com
The National Bureau of Standards has shifted the war against imported second-hand inner garments to Arusha and Kilimanjaro regions and so far bales of such clothes have been set ablaze in Arusha. The Officer in-charge of standards and quality control at ...
Tanzania Bureau of Standards (TBS)IPPmedia
Imported goods now to bear TBS stamp of quality approvalDaily News

all 3

 

10 years ago

BBCSwahili

Nguo za ndani za mitumba bado Uganda

Nguo kuukuu au mitumba bado ni za bei nafuu hususan kwa walala hoi nchini Uganda na maeneo mengine ya Afrika Mashariki.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nguo za ndani za mitumba zinauzwa Uganda

Nguo kuukuu au mitumba bado ni za bei nafuu hususan kwa walala hoi nchini Uganda na maeneo mengine ya Afrika Mashariki.

 

11 years ago

Habarileo

30 mbaroni kwa kuuza nguo za ndani za mitumba

WAFANYABIASHARA 30 wa nguo za ndani za mitumba wa jijini Arusha wamekamatwa kwa kufanya biashara hiyo kinyume cha sheria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani