TBS yakamata shehena ya nguo za ndani
>Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limekamata shehena ya marobota ya nguo za ndani za mitumba ambazo thamani yake haijajulikana kwa kuwa zimechangaywa na nguo za watoto.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
TBS kuwasaka waingizaji wa nguo za ndani
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) litafanya operesheni ya kuwasaka wale wote wanaoingiza nguo za ndani za mitumba nchini. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili jana, Ofisa Mahusiano wa TBS, Roida Andusamile,...
11 years ago
Habarileo01 Feb
Wauza nguo za ndani mitumba waizidi ujanja TBS
WAFANYABIASHARA wa nguo za ndani zilizo hafifu maarufu kama mitumba jijini Mbeya, jana waliwazidi ujanja maofisa wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kuficha nguo hizo wakati wa operesheni ya kuzikusanya na kuwakamata wauzaji.
10 years ago
Habarileo30 Sep
TBS yazuia shehena 125 kutoka nje
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limezuia shehena 125 zinazotoka nje ya nchi zisiingizwe sokoni, kwa sababu ya kutokidhi viwango vya ubora vya kitaifa na kimataifa.
10 years ago
Tanzania Daima18 Oct
TBS iangalie ubora nguo za dukani
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limepiga marufuku matumizi ya nguo za ndani za mitumba kutokana na athari zake kiafya kwa watumaji. Kutokana na hatua hiyo ni ishara kuwa shirika hilo...
10 years ago
Mwananchi29 Sep
TBS: Wananchi acheni kununua nguo mitumba
10 years ago
BBCSwahili14 Apr
Ndege yatua mhudumu akilala ndani ya Shehena
11 years ago
BBCSwahili22 Jan
Mitumba ya nguo za ndani yazagaa TZ
10 years ago
BBCSwahili12 Dec
Nguo za ndani zinazowalinda wanaume