Mbaroni wakidaiwa kuuza mfupa wa albino milioni 3/-
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe.
Jeshi la Polisi mkoani Kagera, limewatia mbaroni watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na mifupa ya viungo vya mwanamke mwenye ulemavu wa ngozi
(albino), Zeulia Justus, aliyefariki dunia mwaka 2006 baada ya kujifungua mtoto katika kijiji cha Rushwa Kata Mshabago Tarafa ya Nshamba Wilaya ya
Muleba, mkoani Kagera.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe, aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni James Lutozi (66) na Emmanuel Karoli (50), wakazi wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Mbaroni wakidaiwa kumuua kikongwe
JESHI la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kumuua Edna Kajinga (70) mkazi wa Kijiji cha Katobe, wilayani Rungwe. Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Ahmed Msangi, alisema...
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Viongozi Kilindi mbaroni wakidaiwa kushawishi mapigano
MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Kibirashi, wilayani Kilindi, Yussuph Mwegango na viongozi wenzake wanne wa ngazi ya vitongoji, vijiji, kata na tarafa wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kushawishi...
11 years ago
Mwananchi26 Dec
Mbaroni wakidaiwa kusafirisha ‘unga’ kutumia maiti
10 years ago
Habarileo04 Mar
4 mbaroni kwa kuua wazee 3 wakidaiwa kuzuia mvua
WATU wanne akiwemo Mwenyekiti wa Kijiji cha Ihanda na wazee wawili wa kimila wa kijiji hicho wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kuhusu kuuawa kwa wazee wawili mtu na mkewe.
11 years ago
Habarileo27 Jan
Mbaroni kwa kuuza nguo za ndani
BAADHI ya wafanyabiashara katika masoko makubwa ya Memorial mjini Moshi, Unga Limited na Usa River mkoani Arusha wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuendelea kuuza nguo za ndani za mitumba zilizopigwa marufuku kutokana na kuwa na madhara kiafya.
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Mbaroni akidaiwa kuuza nyama ya binadamu
11 years ago
Habarileo24 Jan
30 mbaroni kwa kuuza nguo za ndani za mitumba
WAFANYABIASHARA 30 wa nguo za ndani za mitumba wa jijini Arusha wamekamatwa kwa kufanya biashara hiyo kinyume cha sheria.
10 years ago
Mwananchi14 Mar
NYANZA: Walimu kortini kwa kuuza mafuta ya albino
10 years ago
Habarileo25 Mar
Mbaroni kwa viungo, mifupa ya albino
WATU wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa kosa la kukutwa na viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo mifupa mitatu ya mtu mwenye ulemavu wa ngozi (albino).