NYANZA: Walimu kortini kwa kuuza mafuta ya albino
>Walimu wawili wa Shule ya Msingi Maalumu Mtindo na mwenyekiti wa kamati ya shule hiyo wilayani Misungwi mkoani Mwanza, wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuuza mafuta ya ngozi kwa ajili ya albino.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-lQAjQVO71Lg/U43lv1hfdQI/AAAAAAAABOA/QttKyZMucGg/s72-c/ivory+px.jpg)
Kortini kwa kuuza meno ya tembo
Ni yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni tano
NA FURAHA OMARY
WAFANYABIASHARA wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kusafirisha na kuuza meno ya tembo yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni tano.
![](http://2.bp.blogspot.com/-lQAjQVO71Lg/U43lv1hfdQI/AAAAAAAABOA/QttKyZMucGg/s1600/ivory+px.jpg)
Washitakiwa hao, Salivius Matembo (39) na Manase Philemon (39), walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashitaka ya uhujumu uchumi.
Mbele ya Hakimu Mkazi, Frank Moshi, Wakili wa Serikali, Pius Hilla akishirikiana na Mwendesha...
10 years ago
Habarileo05 Jun
Wanane kortini kwa kumkata albino mkono
WATU wanane wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi kwa kumkata mkono wa kulia, Remi Luchoma (30) mwenye ulemavu wa ngozi, kisha kutokomea na mkono huo kusikojulikana.
10 years ago
Mwananchi11 Aug
NYANZA: Walimu wavamia ofisi ya mkurugenzi
10 years ago
Mwananchi08 May
NYANZA: Walimu wageuza madaftari viti
10 years ago
Habarileo03 Sep
Kortini kwa kukata mkono wa albino, kuua mume
WATU watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Igunga na kusomewa mashitaka ya kukata mkono wa mlemavu wa ngozi na kisha kumuua mumewe.
9 years ago
Mwananchi20 Dec
NYANZA: Walimu wanyoshewa kidole mimba za utotoni
9 years ago
Mwananchi03 Dec
NYANZA: Albino wataka ubunge wa kuteuliwa na Rais Magufuli
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yatoa msaada wa mafuta, kofia, pikipiki na kompyuta kwa albino
10 years ago
Vijimambo25 Mar
Mbaroni wakidaiwa kuuza mfupa wa albino milioni 3/-
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Henry-25March2015.jpg)
Jeshi la Polisi mkoani Kagera, limewatia mbaroni watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na mifupa ya viungo vya mwanamke mwenye ulemavu wa ngozi
(albino), Zeulia Justus, aliyefariki dunia mwaka 2006 baada ya kujifungua mtoto katika kijiji cha Rushwa Kata Mshabago Tarafa ya Nshamba Wilaya ya
Muleba, mkoani Kagera.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe, aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni James Lutozi (66) na Emmanuel Karoli (50), wakazi wa...