Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYANZA: Albino wataka ubunge wa kuteuliwa na Rais Magufuli

Chama cha Albino Tanzania (Tas) Mkoa wa Mwanza, kimemuomba Rais John Magufuli atumie nafasi zake kumi za uteuzi kuchagua wabunge wenye ulemavu  ili Bunge liwe na sauti ya kuwatetea.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli achukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kugombea Urais

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa Fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Urais kwa Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadae mwaka huu kutoka kwa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM White House Dodoma leo tarehe 17 JUNI 2020.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka katika Makao Makuu ya CCM White House Dodoma leo tarehe...

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Walimu kortini kwa kuuza mafuta ya albino

>Walimu wawili wa Shule ya Msingi Maalumu Mtindo na mwenyekiti wa kamati ya shule hiyo wilayani Misungwi mkoani Mwanza, wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuuza mafuta ya ngozi kwa ajili ya albino.

 

10 years ago

Vijimambo

Muwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rageh

Bandora Salum Mirambo akiwasilia katika ofisi za CCM wilaya ya Tabora kuchukua fomu za ubunge wa Tabora mjiniWagombea ubunge wa jimbo la Tabora mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mh Aden Rageh na Bandora Mirambo leo
hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.


Wawania kuteuliwa na CCM...

 

10 years ago

Michuzi

Muwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rage

Bandora Salum Mirambo akiwasilia katika ofisi za CCM wilaya ya Tabora kuchukua fomu za ubunge wa Tabora mjiniWagombea ubunge wa jimbo la Tabora mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mh Aden Rage na Bandora Mirambo leo hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.
Wawania kuteuliwa na CCM...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Magufuli achukua fomu ya kuomba Kuteuliwa Kugombea Urais kupitia CCM

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akionyesha kabrasha lenye Fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM mara baada ya kukabidhiwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) ya CCM wa Idara ya Oganizesheni, Dk. Mohamed Seif Khatibu mkoani Dodoma leo. Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu kabla ya...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI ATUMA UJUMBE MZITO KWA VIONGOZI WA SERIKALI WANAOTAKA KUGOMBEA UBUNGE WAKIDHANI WATAKUWA MAWAZIRI



Na Said Mwishehe, Michuzi TV

RAIS Dk.John Magufuli amepeleka salamu kwa baadhi ya viongozi wa kada mbalimbali wanaodhani wakiachana nafasi zao na kwenda kugombea ubunge wakishinda atawateuwa katika Baraza la Mawaziri wajue wanajidanganya.
Ameyasema hayo leo Juni 22,2020 Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kumuapisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Kimanta , Mkuu wa Wilaya ya Arusha Kenan Kihongosi, Mkuu wa Wilaya ya Monduli Edward Balele ,Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Bakari Msulwa,Mkurugenzi wa Jiji...

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi wataka ulinzi kwa albino

Kuanza upya kujitokeza mauaji ya walemavu wa ngozi (Albino) mkoani Simiyu, kumesababisha wananchi kuomba Serikali kuwawekea ulinzi mkali walemavu hao ili waishi kwa amani.

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Rais Kikwete kuaga wafanyakazi leo

>Rais Jakaya Kikwete,  leo, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), huku Mkoa wa Mwanza ukiahidi kumuenzi na kukumbuka mchango wake katika utumishi wake wa miaka 10 katika uongozi wake.

 

10 years ago

Habarileo

Moravian wataka wagombea ubunge waadilifu

Kanisa la Moravian Tanzania Misheni Mashariki, Dar es Salaam.KANISA la Moravian Tanzania limetoa wito kwa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu za vyama vya siasa nchini kuhakikisha kuwa vinateua majina ya watu walio waadilifu kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu muda utakapowadia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani