Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wataka ulinzi kwa albino

Kuanza upya kujitokeza mauaji ya walemavu wa ngozi (Albino) mkoani Simiyu, kumesababisha wananchi kuomba Serikali kuwawekea ulinzi mkali walemavu hao ili waishi kwa amani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI TANZANIA



 JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIAKURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO
Simu ya Upepo   : “N G O M E”          Makao Makuu ya Jeshi,Simu ya Mdomo : DSM  22150463      Sanduku la Posta 9203,Telex                     : 41051                       DAR ES SALAAM,    15, May 2015Tele Fax                : 2153426Barua pepe       : ulinzimagazine@yahoo.co.ukTovuti                  : www.tpdf.mil.tz                  Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linasikitishwa...

 

10 years ago

Michuzi

Taarifa ya kifo kwa vyombo vya habari kutoka JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ).



Brigedia Jenerali Hashim Iddi Mbita (mstaafu) enzi za uhai wake.

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
Simu ya Upepo   : “N G O M E”             Makao Makuu ya Jeshi, Simu ya Mdomo : DSM  22150463         Sanduku la Posta 9203, Telex                     : 41051                          DAR ESSALAAM,  28 Aprili, 2015. Tele Fax                : 2153426 Barua pepe       : ulinzimagazine@yahoo.co.uk Tovuti                  : www.tpdf.mil.tz                    Taarifa ya kifo kwa Vyombo vya...

 

11 years ago

Habarileo

Waliovunjiwa makazi na mwekezaji Moro wataka ulinzi

WAKAZI wa kijiji cha Kidago katika Halmashauri ya wilaya ya Morogoro ambao walivunjiwa makazi yao kwa kile kinachodaiwa kuvamia shamba la mwekezaji Martin Shem, wameiomba serikali na vyombo vya usalama mkoani Morogoro kuwawekea ulinzi.

 

10 years ago

Mtanzania

Mtoto albino azikwa chini ya ulinzi

Joseph KonyoNa Benjamin Masese, Geita
MABAKI ya mwili wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Yohana Bahati (1) ambaye alitekwa Februari 16, mwaka huu na kuuawa kwa kukatwa mikono na miguu, jana yalizikwa kaburini chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Mazishi ya mtoto huyo yalifanyika saa tisa alasiri katika Kijiji cha Ilelema, Wilaya ya Chato, mkoani Geita, huku polisi wakiwa wameimarisha ulinzi.
Mabaki ya mwili wa mtoto huyo yalipelekwa kwanza nyumbani kwa babu yake, Misalaba Manyamche, saa sita mchana kabla ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Maziko ya mtoto albino kufanyika chini ya ulinzi mkali

>Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Yohana Bahati (1), aliyetekwa juzi katika Kijiji cha Ilelema, wilayani Chato mkoani Geita na kuokotwa katika Hifadhi ya Biharamulo akiwa amekufa bila mikono wala miguu, atazikwa leo saa 5 asubuhi katika Kijiji cha Ibondo, mkoani Geita chini ya ulinzi mkali wa polisi.

 

9 years ago

Mwananchi

NYANZA: Albino wataka ubunge wa kuteuliwa na Rais Magufuli

Chama cha Albino Tanzania (Tas) Mkoa wa Mwanza, kimemuomba Rais John Magufuli atumie nafasi zake kumi za uteuzi kuchagua wabunge wenye ulemavu  ili Bunge liwe na sauti ya kuwatetea.

 

9 years ago

StarTV

Jeshi la Polisi laombwa kuweka ulinzi maalumu kuwalinda watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino)

 

Chama watu wenye ulemavu wa ngozi Albino Mkoa wa Tanga kimeliomba jeshi la polisi kuweka ulinzi maalumu kwenye maeneo yenye walemavu hao kama sehemu ya kukabiliana na ukataji wa viungo na mauaji ya watu hao.

Kauli ya chama hicho imekuja baada ya mlemavu mwenzao wa ngozi Ester Maganga mkazi wa wilaya ya Lushoto kukatwa kidole chake cha mkono wa kusoto kwa imani za kishirikina.

Katibu wa chama cha Albino Mkoa wa Tanga, Mahmud Salekhe amesema kitendo cha Mwenzao Ester Maganga mkazi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi wataka mapato, matumizi

Mkutano wa mwaka wa Kijiji cha Chalikani, Kata ya Maweni, Halmashauri ya Jiji la Tanga umevunjika baada ya wananchi kutaka kwanza kusomewa taarifa ya mapato na matumizi.

 

10 years ago

GPL

WANANCHI WATAKA WAELIMISHWE KUYATAMBUA MABOMU

Bomu lililookotwa maeneo ya Kijitonyama, jijini Dar es Salaam. BAADHI ya wananchi wameitaka serikali iwape elimu ya  kutambua zana za milipuko kama vile mabomu ili kuepusha madhara pindi wanapoyaokota au kuyakaribia. Kauli hizo zimetokana na kuongezeka kwa matukio ya kuonekana kwa zana za milipuko  na mabomu ambapo mengine yameokotwa  sehemu mbalimbali nchini, likiwemo bomu lililoonekana juzi maeneo ya Kijitonyama,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani