Moravian wataka wagombea ubunge waadilifu
KANISA la Moravian Tanzania limetoa wito kwa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu za vyama vya siasa nchini kuhakikisha kuwa vinateua majina ya watu walio waadilifu kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu muda utakapowadia.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi14 Aug
CCM yapitisha wagombea ubunge
9 years ago
Habarileo11 Oct
Wagombea ubunge kikaangoni leo
KLABU ya waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa (IPC) itawakutanisha wagombea ubunge sita wa Jimbo la Iringa mjini katika mdahalo utakaofanyika ndani ya ukumbi wa Highlands mjini Iringa.
9 years ago
Mtanzania19 Aug
Wagombea ubunge Chadema hadharani
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepitisha majina ya wagombea ubunge wa chama hicho katika mikoa mbalimbali chini ya mwamvuli wa Ukawa.
Katika uteuzi huo, baadhi ya wanasiasa na wanahabari wamefanikiwa kupenya katika chekeche la mchujo wa chama hicho na kufanikiwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Taarifa iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), John Mnyika, iliwataja wanachama...
9 years ago
Mwananchi19 Aug
Chadema yatangaza wagombea ubunge
10 years ago
Raia Tanzania24 Jul
Wagombea ubunge watwangana ngumi
KAMPENI za wagombea ubunge 12 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaojinadi kwa wanachama kabla ya upigaji wa kura ya maoni katika Jimbo la Arusha Mjini, juzi ziliingia dosari baada ya wagombea wawili kutwangana makonde wakati wa kikao cha majumuisho.
Tukio hilo la kufedhehesha lilitokea ndani ya ofisi za CCM Wilaya ya Arusha saa 11:30 jioni wakati wagombea hao walipokaa na viongozi wa chama wilaya.
Taarifa kutoka ndani ya kikao hicho zilizolifikia Raia Tanzania na kuthibitishwa na...
10 years ago
Vijimambo05 Jun
CUF yatangaza wagombea ubunge, uwakilishi.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/CUF-5June2015.jpg)
Chama cha Wananchi (CUF) kimetangaza majina ya wagombea ubunge na uwakilishi walioteuliwa na Baraza Kuu la chama hicho.
Baraza hilo lilikutana juzi jijini Dar es Salaam na kuchambua majina ya wagombea waliopitishwa kwenye kura za maoni katika majimbo mbalimbali nchini.
Wakati majina hayo yakitangazwa, baadhi ya wafuasi wa chama hicho wamelalamikia uteuzi huo kuwa haukuwa huru na haki.
Aidha, katika Jimbo la Mkanyageni, Pemba, wanachama wa chama hicho kwenye kura ya maoni ‘walimtema’ Mbunge wao...
9 years ago
Mwananchi17 Aug
CCM yatambulisha wagombea udiwani, ubunge
9 years ago
Habarileo17 Aug
Zitto aongoza wagombea ubunge ACT-Wazalendo
CHAMA cha ACT Maendeleo kimetoa rasmi majina ya wagombea wake watakaokiwakilisha chama hicho, katika nafasi za ubunge na uwakilishi kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, huku Kiongozi Mkuu wa chama hicho, Kabwe Zitto akiwania ubunge jimbo la Kigoma mjini.
10 years ago
Mwananchi29 Oct
Obama ni mzigo kwa wagombea ubunge wa Democratic