Wagombea ubunge Chadema hadharani
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepitisha majina ya wagombea ubunge wa chama hicho katika mikoa mbalimbali chini ya mwamvuli wa Ukawa.
Katika uteuzi huo, baadhi ya wanasiasa na wanahabari wamefanikiwa kupenya katika chekeche la mchujo wa chama hicho na kufanikiwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Taarifa iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), John Mnyika, iliwataja wanachama...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi19 Aug
Chadema yatangaza wagombea ubunge
9 years ago
Dewji Blog24 Sep
Felix Mabula akataliwa na wagombea Ubunge na Udiwani wa Chadema jimbo la Hanan’g
Mgombea Ubunge Jimbo la Hanang Derick Magoma akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) juu ya kutokua na imani na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo hilo ambaye ni Mkurugenzi wa Wilaya ya Hanang Felix Mabula madai ambayo wamewasilisha kwa tume ya uchaguzi iteue Msimamizi ili kufanikisha uchaguzi huru na wa haki.Kushoto ni Mwenyekiti wa Chadema Hanan`g Isack Joseph na kulia ni Mgombea udiwani kata ya Endasiwold John Farayo. (Habari picha na Woinde Shizza).
Wagombea wa Nafasi za...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-lJXKjg8aa3g/VdQ3G3RF4uI/AAAAAAABUF0/3jUypnbwiP4/s72-c/CHADEMA-LOGO.png)
TAZAMA HAPA MAJINA YA WAGOMBEA WA CHADEMA PAMOJA NA MAJIMBO WATAKAYOGOMBEA UBUNGE KUPITIA UKAWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-lJXKjg8aa3g/VdQ3G3RF4uI/AAAAAAABUF0/3jUypnbwiP4/s640/CHADEMA-LOGO.png)
Rorya - STEVEN J OWAWA
Tarime Mjini - ESTHER N MATIKO
Tarime Vijijini - JOHN HECHE
Musoma Vijijini - ZAKARIA MBULA CHIRAGWILE
Butiama - YUSUPH R KAZI
Bunda Mjini - ESTHER BULAYA
Mwibara - HARUN D CHIRIKO
Musoma Mjini - VINCENT J NYERERE
Bunda Vijijini - SULEIMAN DAUDI
SIMIYU
Bariadi - GODWIN SIMBA
Maswa Magharibi - ABDALA PATEL
Maswa Mashariki - SYLVESTER KASULUMBAYI
Kisesa - MASANJA MANANI
Meatu - MESHACK OPULUKWA
Itilima - MARTINE MAGILE
SHINYANGA
Msalala - PAULO MALAIKA
Kahama Mjini - JAMES...
10 years ago
Habarileo05 Jun
CUF yaweka hadharani wagombea Zanzibar
BARAZA Kuu la uongozi la Chama cha Wananchi (CUF) limemchagua kwa kura zote 56 Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
9 years ago
VijimamboUPDATES: MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA SHINYANGA MJINI INASEMEKANA AMETEKWA NA KUNYANG’ANYWA FOMU YA UBUNGE
Chanzo chetu kilijaribu kuzungumza na mwenezi wa jimbo hilo ili kuthibitisha tukio hilo lakini pia simu ya mgombea ilikuwa haipatikani.
Chanzo chetu kimeongea na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha tukio hilo.
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
Chanzo:...
10 years ago
Raia Tanzania24 Jul
Wagombea ubunge watwangana ngumi
KAMPENI za wagombea ubunge 12 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaojinadi kwa wanachama kabla ya upigaji wa kura ya maoni katika Jimbo la Arusha Mjini, juzi ziliingia dosari baada ya wagombea wawili kutwangana makonde wakati wa kikao cha majumuisho.
Tukio hilo la kufedhehesha lilitokea ndani ya ofisi za CCM Wilaya ya Arusha saa 11:30 jioni wakati wagombea hao walipokaa na viongozi wa chama wilaya.
Taarifa kutoka ndani ya kikao hicho zilizolifikia Raia Tanzania na kuthibitishwa na...
9 years ago
Habarileo11 Oct
Wagombea ubunge kikaangoni leo
KLABU ya waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa (IPC) itawakutanisha wagombea ubunge sita wa Jimbo la Iringa mjini katika mdahalo utakaofanyika ndani ya ukumbi wa Highlands mjini Iringa.
9 years ago
Mwananchi14 Aug
CCM yapitisha wagombea ubunge
10 years ago
Habarileo02 Jan
Moravian wataka wagombea ubunge waadilifu
KANISA la Moravian Tanzania limetoa wito kwa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu za vyama vya siasa nchini kuhakikisha kuwa vinateua majina ya watu walio waadilifu kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu muda utakapowadia.