CUF yaweka hadharani wagombea Zanzibar
BARAZA Kuu la uongozi la Chama cha Wananchi (CUF) limemchagua kwa kura zote 56 Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
CCM Kibaha yaweka hadharani msimamo
NA MWANDISHI WETU
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kibaha Mjini, kimesema wanachama wake watakaoongoza kura za maoni pasipo mizengwe, watateuliwa kuwania uongozi katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa.
Kimesema kitakabiliana na wagombea wote wasiokubali kushindwa, ambao mara nyingi wamekuwa chanzo cha kuendeleza makundi na kuleta matatizo kwenye uchaguzi.
Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Abdallah Mdimu, alisema hayo juzi kwa wenyeviti wa serikali za mitaa na madiwani alipokuwa akifunga...
10 years ago
Mwananchi06 Feb
CUF yaweka kizingiti kingine Kura ya Maoni
9 years ago
Mtanzania19 Aug
Wagombea ubunge Chadema hadharani
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepitisha majina ya wagombea ubunge wa chama hicho katika mikoa mbalimbali chini ya mwamvuli wa Ukawa.
Katika uteuzi huo, baadhi ya wanasiasa na wanahabari wamefanikiwa kupenya katika chekeche la mchujo wa chama hicho na kufanikiwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Taarifa iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), John Mnyika, iliwataja wanachama...
10 years ago
Vijimambo05 Jun
CUF yatangaza wagombea ubunge, uwakilishi.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/CUF-5June2015.jpg)
Chama cha Wananchi (CUF) kimetangaza majina ya wagombea ubunge na uwakilishi walioteuliwa na Baraza Kuu la chama hicho.
Baraza hilo lilikutana juzi jijini Dar es Salaam na kuchambua majina ya wagombea waliopitishwa kwenye kura za maoni katika majimbo mbalimbali nchini.
Wakati majina hayo yakitangazwa, baadhi ya wafuasi wa chama hicho wamelalamikia uteuzi huo kuwa haukuwa huru na haki.
Aidha, katika Jimbo la Mkanyageni, Pemba, wanachama wa chama hicho kwenye kura ya maoni ‘walimtema’ Mbunge wao...
9 years ago
GPLMKE WA RAIS WA ZANZIBAR AENDELEA NA ZIARA YAKE KUWAOMBEA KURA WAGOMBEA WA CCM ZANZIBAR
9 years ago
VijimamboMKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MWANAMWEMA SHEIN, AENDELEA NA ZIARA YAKE KUWAOMBEA KURA WAGOMBEA WA CCM ZANZIBAR.
11 years ago
Habarileo13 May
Mapato ya Muungano Zanzibar hadharani
FEDHA zinazopelekwa Zanzibar kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano kwa ajili ya kusaidia shughuli mbalimbali za kibajeti, kiuchumi na kijamii, zimewekwa wazi ambapo miongoni mwake zipo zinazotokana na Malipo ya Kodi ya Mishahara (Paye).
9 years ago
Habarileo17 Aug
Ratiba ya uchaguzi Zanzibar hadharani
TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imetangaza ratiba ya kuanza kwa harakati za uchaguzi mkuu ambapo kuanzia wiki hii, fomu za kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar zitaanza kutolewa.
9 years ago
MichuziMaalim SEIF SHARIF HAMAD akutana na Wagombea wa CUF - Pemba
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10