CCM Kibaha yaweka hadharani msimamo
NA MWANDISHI WETU
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kibaha Mjini, kimesema wanachama wake watakaoongoza kura za maoni pasipo mizengwe, watateuliwa kuwania uongozi katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa.
Kimesema kitakabiliana na wagombea wote wasiokubali kushindwa, ambao mara nyingi wamekuwa chanzo cha kuendeleza makundi na kuleta matatizo kwenye uchaguzi.
Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Abdallah Mdimu, alisema hayo juzi kwa wenyeviti wa serikali za mitaa na madiwani alipokuwa akifunga...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jul
NEC yaweka msimamo uandikishaji
NA RABIA BAKARITUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haitoongeza muda wa kuandikisha Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo mpya wa BVR, licha ya wanasiasa wengi kupendekeza.Aidha imetoa ruksa kwa vyama vyote vya siasa vinavyohitaji kuweka mawakala kufanya hivyo wakati wa uandikishaji wa daftari hilo.Mapendekezo ya kuongeza muda kutoka siku 14 hadi mwezi au miezi miwili, yalitolewa juzi na viongozi wa juu wa vyama vya siasa, walioshiriki mkutano kati yao na NEC kwa ajili ya kujadili...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
CHADEMA yaweka msimamo mzito
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza msimamo mzito kwamba endapo vijana milioni tano wasipoandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kitasusia kura za maoni ya Katiba. Msimamo huo...
10 years ago
Habarileo05 Jun
CUF yaweka hadharani wagombea Zanzibar
BARAZA Kuu la uongozi la Chama cha Wananchi (CUF) limemchagua kwa kura zote 56 Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
10 years ago
Habarileo15 Sep
CCM yaweka mikakati ya Uchaguzi Serikali Mitaa
KATIKA kuhakikisha kinafanya vyema katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwishoni mwa mwaka huu na Uchaguzi Mkuu wa mwaka kesho, Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kimepanga kuzitumia siku za Jumamosi kwa mikutano ya kisiasa katika kata zote za manispaa hiyo.
10 years ago
Uhuru Newspaper21 Aug
Msimamo mzito Kamati Kuu CCM
Bunge la Katiba mbele kwa mbele, mchakato safiCC yawaengua mawaziri safari za JK nje ya nchiYatoa maagizo mazito kwa mawaziri na wabunge
Na Happiness Mtweve, Dodoma
KAMATI Kuu ya CCM, imewaagiza mawaziri, manaibu mawaziri na wabunge wasiohudhuria vikao vya Bunge Maalumu la Katiba, kuhudhuria mara moja.
Imesema mchango wa mawaziri na wabunge katika Bunge hilo ni muhimu ili kuhakikisha Katiba bora ya wananchi na yenye maoni ya wengi inapatikana.
Kutokana na hilo, imetangaza kupunguza idadi ya...
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Mbunge CCM atangaza mapema msimamo
9 years ago
Mwananchi18 Aug
Kamati ya uchaguzi CCM hadharani
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Waraka wa Katiba wa CCM hadharani
10 years ago
Mwananchi12 Jul
Rais CCM sasa hadharani