NEC yaweka msimamo uandikishaji
NA RABIA BAKARITUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haitoongeza muda wa kuandikisha Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo mpya wa BVR, licha ya wanasiasa wengi kupendekeza.Aidha imetoa ruksa kwa vyama vyote vya siasa vinavyohitaji kuweka mawakala kufanya hivyo wakati wa uandikishaji wa daftari hilo.Mapendekezo ya kuongeza muda kutoka siku 14 hadi mwezi au miezi miwili, yalitolewa juzi na viongozi wa juu wa vyama vya siasa, walioshiriki mkutano kati yao na NEC kwa ajili ya kujadili...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
CHADEMA yaweka msimamo mzito
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza msimamo mzito kwamba endapo vijana milioni tano wasipoandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kitasusia kura za maoni ya Katiba. Msimamo huo...
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
CCM Kibaha yaweka hadharani msimamo
NA MWANDISHI WETU
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kibaha Mjini, kimesema wanachama wake watakaoongoza kura za maoni pasipo mizengwe, watateuliwa kuwania uongozi katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa.
Kimesema kitakabiliana na wagombea wote wasiokubali kushindwa, ambao mara nyingi wamekuwa chanzo cha kuendeleza makundi na kuleta matatizo kwenye uchaguzi.
Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Abdallah Mdimu, alisema hayo juzi kwa wenyeviti wa serikali za mitaa na madiwani alipokuwa akifunga...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-a3Kttx4Y528/XuPnPeHOgUI/AAAAAAALtpw/4NsBjk_SX8w6hPr62klp7brrwWj8lNn3QCLcBGAsYHQ/s72-c/hhh.jpg)
NEC YAWEKA WAZI DAFTARI LA AWALI, ARUSHA
![](https://1.bp.blogspot.com/-a3Kttx4Y528/XuPnPeHOgUI/AAAAAAALtpw/4NsBjk_SX8w6hPr62klp7brrwWj8lNn3QCLcBGAsYHQ/s1600/hhh.jpg)
Tume ya taifa ya Uchaguzi (NEC) kupitia Ofisi ya Afisa Mwandikishaji ambae ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha imesema kuwa itaweka wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura kwa siku nne mfululizo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha pamoja na wawakilishi wa Vyama vya Siasa mkoani Arusha,Afisa Uandikishaji Msaidizi wa Jiji hilo,Misena Bina,alisema daftari litakuwa wazi kuanzia June 17-20, katika vituo vilivyotumika awali wakati wa...
10 years ago
Mwananchi26 Jun
NEC itathmini uandikishaji wa BVR
11 years ago
Habarileo01 Jul
NEC yafafanua mfumo wa uandikishaji
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema mfumo mpya wa uandikishaji wa wapiga kura wa ‘Biometric Voter Registration Kit’ (BVR), utatumika kwa ajili ya kuandikisha wapiga kura tu, si kwa ajili ya upigaji kura kielektroniki.
10 years ago
Habarileo02 Apr
NEC itaamua hatma uandikishaji -Pinda
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ametoa ufafanuzi kuhusu suala la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapigakura na siku maalum ya kupiga kura.
10 years ago
Mwananchi30 Jun
NEC yaahirisha uandikishaji wapigakura Dar
10 years ago
Mtanzania13 Feb
NEC yasogeza mbele uandikishaji daftari la kudumu
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza kusogeza mbele uandikishaji wapigakura kutoka Februari 16 hadi 23, mwaka huu.
Uamuzi huo ulitangazwa jana jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva, katika kikao na viongozi wa vyama vya siasa hali ambayo iliibua hoja nzito.
Jaji Lubuva, alisema wamesogeza mbele uandikishaji ili wapate muda wa kufanya maandalizi ya kutosha, na vyama viweze kuandaa mawakala pindi kazi hiyo...
10 years ago
Mwananchi27 May
MAONI: NEC, uandikishaji usiende pamoja na kampeni