Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC itaamua hatma uandikishaji -Pinda

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ametoa ufafanuzi kuhusu suala la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapigakura na siku maalum ya kupiga kura.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

NEC yaweka msimamo uandikishaji


NA RABIA BAKARITUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haitoongeza muda wa kuandikisha Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo mpya wa BVR, licha ya wanasiasa wengi kupendekeza.Aidha imetoa ruksa kwa vyama vyote vya siasa vinavyohitaji kuweka mawakala kufanya hivyo wakati wa uandikishaji wa daftari hilo.Mapendekezo ya  kuongeza muda kutoka siku 14 hadi mwezi au miezi miwili,  yalitolewa juzi na viongozi wa juu wa vyama vya siasa, walioshiriki mkutano kati yao na NEC kwa ajili  ya kujadili...

 

10 years ago

Mwananchi

NEC itathmini uandikishaji wa BVR

Lawama na vurugu za shughuli za uandikishaji wananchi kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura, vinazidi kupamba moto siku hadi siku.

 

11 years ago

Habarileo

NEC yafafanua mfumo wa uandikishaji

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema mfumo mpya wa uandikishaji wa wapiga kura wa ‘Biometric Voter Registration Kit’ (BVR), utatumika kwa ajili ya kuandikisha wapiga kura tu, si kwa ajili ya upigaji kura kielektroniki.

 

10 years ago

Mwananchi

NEC yaahirisha uandikishaji wapigakura Dar

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeahirisha kwa muda uandikishaji wa wapigakura katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani hadi hapo itakapotangazwa.

 

10 years ago

Mtanzania

NEC yasogeza mbele uandikishaji daftari la kudumu

Pg 1NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza kusogeza mbele uandikishaji wapigakura kutoka Februari 16 hadi 23, mwaka huu.
Uamuzi huo ulitangazwa jana jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva, katika kikao na viongozi wa vyama vya siasa hali ambayo iliibua hoja nzito.
Jaji Lubuva, alisema wamesogeza mbele uandikishaji ili wapate muda wa kufanya maandalizi ya kutosha, na vyama viweze kuandaa mawakala pindi kazi hiyo...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: NEC, uandikishaji usiende pamoja na kampeni

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), wiki hii imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani kwamba Agosti 21 itakuwa siku ya uteuzi wa wagombea hao.

 

10 years ago

Mwananchi

NEC iongeze muda zaidi Dar, au uandikishaji uboreshwe

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) juzi ilitangaza kuongeza siku nne kwa ajili ya kutoa nafasi zaidi kwa wakazi wa mkoa wa Dar es Salaam kujiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura baada ya kuona mwitikio mkubwa.

 

10 years ago

Mwananchi

UANDIKISHAJI WAPIGA KURA: Vyama 22 vyaungana kuishukia NEC

>Vyama vya siasa nchini vimeibana Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), wakitaka iweke wazi kama itaweza kukamilisha mchakato wa uandikishaji Daftari la Wapiga kura kabla ya Kura ya Maoni iliyopangwa kufanyika Aprili 30.

 

10 years ago

Mwananchi

Uandikishaji BVR umemalizika, NEC sasa ijipange upya

Mchakato wa kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura unamalizika leo jijini Dar es Salaam, baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuongeza muda kutokana na wananchi wengi waliotaka kujiandikisha kuendelea kufurika katika vituo mbalimbali jijini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani