NEC yaahirisha uandikishaji wapigakura Dar
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeahirisha kwa muda uandikishaji wa wapigakura katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani hadi hapo itakapotangazwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi01 Aug
NEC iongeze muda zaidi Dar, au uandikishaji uboreshwe
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) juzi ilitangaza kuongeza siku nne kwa ajili ya kutoa nafasi zaidi kwa wakazi wa mkoa wa Dar es Salaam kujiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura baada ya kuona mwitikio mkubwa.
10 years ago
Dewji Blog27 Jun
5 years ago
MichuziNEC yaongeza siku za uandikishaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura Dar
Na Chalila Kubuda, Globu ya Jamii .
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza muda wa uandikishaji katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura kwa mkoa ya Dar es Salaam.
Muda uliongezwa kwa katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura ni siku tatu ambapo zoezi hilo litaitimishwa Februari 23, 2020.
Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Uchanguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt Wilson Charles amesema kuwa kusogezwa kwa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza muda wa uandikishaji katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura kwa mkoa ya Dar es Salaam.
Muda uliongezwa kwa katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura ni siku tatu ambapo zoezi hilo litaitimishwa Februari 23, 2020.
Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Uchanguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt Wilson Charles amesema kuwa kusogezwa kwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-zF0ErWmukzY/VY12uK-6GeI/AAAAAAABiUM/fpp9ymNB35U/s72-c/20150626085239.jpg)
10 years ago
Mwananchi04 Feb
Uandikishaji wapigakura shakani kufanyika
 Zikiwa zimesalia siku 11 kabla ya kuanza kwa uboreshaji wa Daftari la Wapigakura, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imesema bado inasubiri kuwasili kwa vifaa vya teknolojia itakayotumika kwenye mchakato huo, huku taasisi za wanaharakati wa Zanzibar zikisema Kura ya Maoni ni batili kutokana na kukiuka sheria.
10 years ago
BBCSwahili23 Jul
Zoezi la Uandikishaji wapigakura, Dsm.
Zoezi la Uandikishaji kwenye daftari la Kudumu la Wapiga kura nchini Tanzania, bado linasuasua kutokana na kasoro zilizojitokeza.
10 years ago
Habarileo12 May
Kura za maoni zapisha uandikishaji wapigakura
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amesema kwa sasa suala la kura ya maoni limesitishwa kwa muda hadi pale tume hiyo itakapokamilisha uandikishaji wa wapigakura katika daftari la kudumu la wapigakura.
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Wanasiasa watilia shaka uandikishaji daftari la wapigakura
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza muda rasmi wa kuanza kwa zoezi la uboreshaji wa daftari la wapigakura, ambapo imesema kazi hiyo itakayofanyika kwa muda wa wiki mbili, itaanza mwezi Septemba mwaka huu.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f*E8U3rGFXqXoRy0q2hN*kgf83cKPO*RsiSmijcTXGNLS*HzWLrcUYtMEMx4Tlu4FnBJuOrqobab13tGDKXWwa7Y6WtSku2d/KURA.png?width=650)
NEC: UANDIKISHAJI BVR DAR KUANZA JULAI 16-25, PWANI JULAI 7-20
Na Mwandishi -Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura kwa teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) lililoahirishwa katika jiji la Dar es salaam na mkoa wa Pwani hivi karibuni sasa litafanyika kuanzia Julai 7-20 kwa mkoa wa Pwani na Julai 16- 25 kwa jiji la Dar es salaam. Uboreshaji wa Daftari hilo kwa jiji la Dar es salaam na Mkoa wa Pwani uliahirishwa kutokana na kuchelewa kwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania