NEC: UANDIKISHAJI BVR DAR KUANZA JULAI 16-25, PWANI JULAI 7-20
![](http://api.ning.com:80/files/f*E8U3rGFXqXoRy0q2hN*kgf83cKPO*RsiSmijcTXGNLS*HzWLrcUYtMEMx4Tlu4FnBJuOrqobab13tGDKXWwa7Y6WtSku2d/KURA.png?width=650)
Na Mwandishi -Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura kwa teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) lililoahirishwa katika jiji la Dar es salaam na mkoa wa Pwani hivi karibuni sasa litafanyika kuanzia Julai 7-20 kwa mkoa wa Pwani na Julai 16- 25 kwa jiji la Dar es salaam. Uboreshaji wa Daftari hilo kwa jiji la Dar es salaam na Mkoa wa Pwani uliahirishwa kutokana na kuchelewa kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo03 Jul
BVR Pwani Julai 7, Dar Julai 16
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ambayo iliahirisha uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) katika Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani hivi karibuni, sasa imesema utafanyika kuanzia Julai 7 hadi 20 kwa Mkoa wa Pwani na Julai 16 hadi Julai 25 kwa Jiji la Dar es Salaam.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-PwZ-S63TeHc/VZU-n9Zcu6I/AAAAAAAHmb8/34tCN6OaXWg/s72-c/img_1741.jpg)
TUME YA UCHAGUZI YATANGAZA KUANZA UANDIKISHAJI BVR DAR ES SALAAM NA PWANI
![](http://2.bp.blogspot.com/-PwZ-S63TeHc/VZU-n9Zcu6I/AAAAAAAHmb8/34tCN6OaXWg/s400/img_1741.jpg)
Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura kwa teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) lililoahirishwa katika jiji la Dar es salaam na mkoa wa Pwani hivi karibuni sasa litafanyika kuanzia Julai 7-20 kwa mkoa wa Pwani na Julai 16- 25 kwa jiji la Dar es salaam.
Uboreshaji wa Daftari hilo kwa jiji la Dar es salaam na Mkoa wa Pwani uliahirishwa kutokana na kuchelewa kwa vifaa vya uboreshaji kutoka mikoani ambavyo vilipelekwa ili...
10 years ago
Habarileo12 Jul
Uandikishaji daftari la kudumu Dar sasa Julai 22
ZOEZI la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura kwa mkoa wa Dar es Salaam limesogezwa mbele hadi Julai 22 mwaka huu.
10 years ago
Mwananchi21 Jul
Uandikishaji BVR Dar kuanza kesho
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Watanzania kuanza Madola Julai 27
WAKATI michezo ya Jumuiya ya Madola ikitarajiwa kufunguliwa kesho mjini Glasgow, Scotland, wanariadha wa Tanzania wataanza kampeni yao Julai 27. Hiyo ni kwa mujibu wa ratiba ya mashindano hayo ambayo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-DocMlwLY0Sk/Xt35G728GEI/AAAAAAALtAg/n49-yg2NHhQhmYkBD99phhVM7ylCSl1TwCLcBGAsYHQ/s72-c/Saba_Crowd1.jpg)
MAONESHO YA 44 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA DAR ES SALAAM (44th DITF) KUANZA JULAI 1 – 13, 2020 KATIKA UWANJA WA MAONESHO WA MWL. J.K. NYERERE
![](https://1.bp.blogspot.com/-DocMlwLY0Sk/Xt35G728GEI/AAAAAAALtAg/n49-yg2NHhQhmYkBD99phhVM7ylCSl1TwCLcBGAsYHQ/s640/Saba_Crowd1.jpg)
Lengo la Maonesho haya ni kutoa fursa ya kutafuta masoko ya...
11 years ago
Habarileo26 May
Mabehewa mapya kuanza kuingia Julai
MABEHEWA mapya 22 ya abiria, 274 ya mizigo na 34 ya breki pamoja na vichwa vinane vipya vya treni, yanatarajiwa kuwasili kati ya Julai na Desemba mwaka huu, imefahamika.
10 years ago
Habarileo08 Feb
Tume ya Walimu kuanza kazi Julai
SERIKALI imesema Tume ya Utumishi wa Walimu itaanza kazi Julai mwaka huu na kuhudumia walimu katika masuala mbalimbali huku muundo wa utumishi wa tume hiyo umehusisha ngazi za chini na juu.
11 years ago
Habarileo12 Jul
Kidunda kuanza kulipwa fidia Julai 21
MAMLAKA ya Maji Safi na Majitaka Mkoa wa Dar es Salaam, (DAWASA), imetenga kiasi cha sh bilioni 7.9 kwa ajili ya kulipa fidia kwa wakazi 2,600 watakaohamishwa katika kijiji cha Kidunda wilayani Morogoro kupisha ujenzi wa bwawa la maji na barabara.