Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BVR Pwani Julai 7, Dar Julai 16

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Julius MallabaTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ambayo iliahirisha uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) katika Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani hivi karibuni, sasa imesema utafanyika kuanzia Julai 7 hadi 20 kwa Mkoa wa Pwani na Julai 16 hadi Julai 25 kwa Jiji la Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NEC: UANDIKISHAJI BVR DAR KUANZA JULAI 16-25, PWANI JULAI 7-20

Na Mwandishi -Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura kwa teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) lililoahirishwa katika jiji la Dar es salaam na mkoa wa Pwani hivi karibuni sasa litafanyika kuanzia Julai 7-20 kwa mkoa wa Pwani na Julai 16- 25 kwa jiji la Dar es salaam. Uboreshaji wa Daftari hilo kwa jiji la Dar es salaam na Mkoa wa Pwani uliahirishwa kutokana na kuchelewa kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kampuni ‘kuanika’ silaha Julai 14 Dar

Kampuni zaidi ya 30 zinazotengeneza silaha na vifaa vya kijeshi kutoka ndani na nje ya nchi zitaonyesha bidhaa zao katika Kongamano la Majeshi ya Nchikavu litakalofanyika hivi karibuni nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Uandikishaji daftari la kudumu Dar sasa Julai 22

ZOEZI la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura kwa mkoa wa Dar es Salaam limesogezwa mbele hadi Julai 22 mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

UBALOZI WA MAREKANI DAR ES SALAAM: MNADA WA HADHARA JUMAMOSI JULAI 11, 2015

  UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na Ubalozi wa Marekani watauza kwa mnada wa hadhara gari, generator, fanicha za ofisi na nyumbani,  makontena na mashine za gym   tarehe 11 Julai, 2015 Jumamosi saa 3:00 asubuhi. Mnada utafanyika Golden Resort Sinza,  Lion Street.MALI ZITAKAZOUZWA:sofa sets, chest drawer, recliner, dressers, coffee table, book shelve, meza za ofisi/viti, dining table/chairs, carpet, hoover,  vitanda, magodoro, fridges, freezer, cookers, TV set, washer, dryer,...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI ANGELLAH JASMINI KAIRUKI ZIARANI DAR ES SALAAM KUANZIA KESHO JULAI 14-18, 2014

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (MB) anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia Jumatatu, Julai 14  hadi Ijumaa 18, 2014 katika jiji la Dar Es Salaam akitembelea asasi mbalimbali zinazotoa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi kwa lengo la kujionea huduma zinazotolewa na asasi hizi ikiwa ni pamoja na kukutana na wananchi wanaopata huduma hii. 
Pamoja na kujionea huduma hizi Mh. Naibu Waziri anatarajiwa kujionea ufanisi wa kazi zinazofanywa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani