Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Media Car Wash for Cancer kufanyika leo Julai 4, 2015 Leaders Dar es Salaam

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. SAID MECK SADICK ASHIRIKI KAMPENI YA MEDIA CAR WASH FOR CANCER LEADERS CLUB LEO




Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Said Meck Sadick akizindua kampeni ya kuosha Magari katika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kuchangia Fedha kwa waandishi wa Habari ambao wanamatatizo ya Kiafya ikiwemo Saratani ( MEDIA CAR WASH FOR CANCER). Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO),Nd.Assah Mwambene akikabidhi kiasi cha fedha kwa Mmoja wa Waratibu wa MEDIA CAR WASH FOR CANCER Bwa.Benjamin Thomson,zilizochangwa na Idara hiyo kupitia chama chao cha Maofisa Habari wa Serikali...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. MECK SADICK AONGOZA ZOEZI LA KUOSHA MAGARI LA MEDIA CAR WASH FOR CANCER LEADERS CLUB LEO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadick akizindua zoezi la kuosha Magari katika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kuchangia Fedha kwa waandishi wa Habari ambao wanamatatizo ya Kiafya ikiwemo Saratani  Mkuu wa Wilaya ya Kinomdoni Paul Makonda Akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuongea na Waandishi wa Habari pamoja na wadau 
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadick akiongea na waandishi wa Habari pamoja na Wadau mbalimbali waliofika kuosha Magari yao kwa ajili ya...

 

10 years ago

GPL

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. MECK SADICK AONGOZA ZOEZI LA KUOSHA MAGARI LA MEDIA CAR WASH FOR CANCER, LEADERS CLUB LEO‏

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadick akizindua zoezi la kuosha magari katika viwanja vya Leaders Club, Dar kwa ajili ya kuchangia fedha kwa waandishi wa habari ambao wanamatatizo ya kiafya ikiwemo saratani.  Mkuu wa Wilaya ya Kinomdoni, Paul Makonda akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuongea na waandishi wa habari pamoja na wadau.  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadick akiongea… ...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

RC DAR AONGOZA HARAMBEE YA WAANDISHI YA MEDIA CAR WASH FOR CANCER DAR ES SALAAM

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecky Sadick akiosha pikipiki ya Blogger Mroki Mroki 'Father Kidevu' (kushoto kwake)  wakati wa harambee  kuosha Magari katika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kuchangia Fedha kwa waandishi wa Habari ambao wanamatatizo ya Kiafya ikiwemo Saratani.  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiosha pikipiki hiyo baada ya kuzidi dau na kufanya jumla ya shilingi 150,000/= kupatikana kwa kuosha pikipiki hiyo.
Mdau huyu nae alikuja na Baiskeli yake...

 

10 years ago

Michuzi

UBALOZI WA MAREKANI DAR ES SALAAM: MNADA WA HADHARA JUMAMOSI JULAI 11, 2015

  UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na Ubalozi wa Marekani watauza kwa mnada wa hadhara gari, generator, fanicha za ofisi na nyumbani,  makontena na mashine za gym   tarehe 11 Julai, 2015 Jumamosi saa 3:00 asubuhi. Mnada utafanyika Golden Resort Sinza,  Lion Street.MALI ZITAKAZOUZWA:sofa sets, chest drawer, recliner, dressers, coffee table, book shelve, meza za ofisi/viti, dining table/chairs, carpet, hoover,  vitanda, magodoro, fridges, freezer, cookers, TV set, washer, dryer,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani