Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAIBU WAZIRI ANGELLAH JASMINI KAIRUKI ZIARANI DAR ES SALAAM KUANZIA KESHO JULAI 14-18, 2014

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (MB) anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia Jumatatu, Julai 14  hadi Ijumaa 18, 2014 katika jiji la Dar Es Salaam akitembelea asasi mbalimbali zinazotoa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi kwa lengo la kujionea huduma zinazotolewa na asasi hizi ikiwa ni pamoja na kukutana na wananchi wanaopata huduma hii. 
Pamoja na kujionea huduma hizi Mh. Naibu Waziri anatarajiwa kujionea ufanisi wa kazi zinazofanywa na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Angellah Kairuki na mmiliki wa Bongo5 wachaguliwa kuwa miongoni mwa viongozi vijana duniani ‘Young Global Leaders 2014

 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Angellah Kairuki  (kushoto) pamoja na Mwanzilishi na Mwenyekiti Mtendaji (CEO) wa Bongo5 Media Group na Jefag Logistics Tanzania Ltd, Luca Neghesti (chini) wameteuliwa kuwa miongoni mwa viongozi vijana duniani, ‘Young Global Leaders 2014’   Watanzania hao wawili wameingia kwenye jopo hilo ambalo mwaka huu linaundwa na vijana 214 kutoka nchi 66 duniani kutoka serikalini na makampuni binafsi.  Mwaka huu Afrika ina wawakilishi 19 peke yake.   Idadi hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki Azindua Kampeni Care For Me!

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni za 'Care For Me!' katika Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam leo. Kampeni hizo za kuhamasisha jamii na makundi mbalimbali kuchangia na kumjali mtoto aliye katika mazingira hatarishi na yatima zinalenga kuwasaidia watoto zaidi ya 12,000 hadi kufikia mwisho wa kampeni yaani mwaka 2016.   Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni za 'Care For Me!' katika Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam leo. Kampeni hizo za kuhamasisha jamii na makundi mbalimbali kuchangia na kumjali mtoto aliye katika mazingira hatarishi na yatima zinalenga kuwasaidia watoto zaidi ya 12,000 hadi kufikia mwisho wa kampeni yaani mwaka 2016.Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akitia saini sehemu maalumu kutoa ujumbe wake mara baada ya kufanya uzinduzi rasmi wa kampeni za 'Care For Me!' katika Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine fedha zitakazopatikana katika kapeni hiyo zitahakikisha zinaongeza idadi ya vituo vya SOS kuwasaidia watoto yatima na waliopo katika mazingira hatarishi. Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akitia saini sehemu maalumu kutoa...

 

9 years ago

Michuzi

Taarifa kwa Umma kutoka kwa Angellah Kairuki, Naibu Waziri wa Ardhi, nyumba na Maendeleo ya Makazi

Angellah Jasmine Kairuki
Tarehe 14 Septemba 2015 ulisambazwa ujumbe kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ukidai kuonyesha mawasiliano ya Makada wa Chama cha Mapinduzi nikiwamo mimi (Angellah Kairuki), Nd. January Makamba, Nd.Mwigu Nchemba na Nd.Livingstone Lusinde.  Wakati ujumbe huo umeanza kusambazwa nilikuwa kwenye mikutano ya Kampeni ya Mgombea Mwenza wa CCM Mhe.Samia Suluhu Hassan Wilayani Nachingwea na Liwale hivyo kupelekea kuchelewa kutoa taarifa yangu hii.
Napenda kuufahamisha umma...

 

10 years ago

Michuzi

WARSHA YA KISAYANSI KUHUSU HUDUMA ZA HALI YA HEWA KUPITIA MODELI YA ‘PRECIS’, KUANZIA TAREHE 29 JUNI HADI 3 JULAI 2015, DAR ES SALAAM, TANZANIA.

Na Monica MutoniMamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) wameandaa mafunzo ya hali ya hewa kwa kutumia modeli ya PRECIS (Providing Regional Climates for Impact Studies) kuanzia tarehe 29 Juni hadi 03 Julai 2015. Warsha/ mafunzo haya yameandaliwa na TMA chini ya mwamvuli wa mradi wa GFCS unaotekelezwa kwa upande wa Afrika katika nchi za Tanzania na Malawi.  Washiriki wa mafunzo hayo kutoka TMA na Kurugenzi ya Hali ya Hewa ya Malawi ...

 

11 years ago

Michuzi

MABADILIKO YA UELEKEO WA BARABARA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUANZIA SIKU YA TAREHE 28/04/2014. TRAFFIC CIRCULATION AT CBD

Key: 1. RANGI YA NJANO - Njia ya Uelekeo Mmoja {One Way}.
 2. RANGI YA BLUE MPAUKO - Njia ya Mielekeo Miwili {Two Way} 
 3. RANGI YA KIJANI - Mitaa ya Kutembea kwa Miguu Magari marufuku {Walking Streets} 
 4. RANGI NYEKUNDU - Barabara za kupita Daladala
 5. RANGI YA BLUU ILIYOIVA - Barabara za DART
 6. DUARA ZA NJANO - Mzunguuko {Roundabout} 
 7. MSALABA WA KIJANI - Makutano yenye Taa za kuongozea Magari {Singnalized Intersection}
1. Kipande cha Mtaa wa Samora kuanzia Mnara wa Askari (Askari...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NYUMBA KAIRUKI ATEMBELEA GEREJI TEGETA

 . Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Kairuki akizuru eneo la Magereji Tegeta.Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Kairuki atembelea eneo maalumu la Mradi wa Gereji kwa Vijana Tegeta. Eneo hili linajulikana kwa jina la Magereji kwakuwa ni eneo maalumu lililotengwa kwa vijana wanaojishughulisha na utengenezaji wa magari kutoka mitaa mbalimbali jijini Dar es salaam.  Mhe. Angela Kairuki akiangalia mitambo ya kisasa inayotumika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani