WARSHA YA KISAYANSI KUHUSU HUDUMA ZA HALI YA HEWA KUPITIA MODELI YA ‘PRECIS’, KUANZIA TAREHE 29 JUNI HADI 3 JULAI 2015, DAR ES SALAAM, TANZANIA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Dq75gLB3mK0/VZRpQrxJWgI/AAAAAAAHmVA/-763h8m8pXE/s72-c/unnamed%2B%252815%2529.jpg)
Na Monica MutoniMamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) wameandaa mafunzo ya hali ya hewa kwa kutumia modeli ya PRECIS (Providing Regional Climates for Impact Studies) kuanzia tarehe 29 Juni hadi 03 Julai 2015. Warsha/ mafunzo haya yameandaliwa na TMA chini ya mwamvuli wa mradi wa GFCS unaotekelezwa kwa upande wa Afrika katika nchi za Tanzania na Malawi. Washiriki wa mafunzo hayo kutoka TMA na Kurugenzi ya Hali ya Hewa ya Malawi ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboUFUNGUZI WA WARSHA YA WADAU KUHUSU “HUDUMA ZITOLEWAZO NA MAMLAKA YA HALI YA HEWA NA UAINISHAJI WA MAHITAJI YA WADAU”, HOTELI YA BLUE PEARL, DAR ES SALAAM, TANZANIA, TAREHE 24 MACHI, 2015
10 years ago
MichuziWARSHA YA WADAU KUHUSU HUDUMA ZITOLEWAZO NA MAMLAKA YA HALI YA HEWA YAFANYIKA JIJINI DAR
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-4M6IMZ9n2Ho/VWxrpeeNctI/AAAAAAAAA5s/N3CDCdO36ro/s72-c/congress%2B2015.png)
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 17 WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO) NCHINI USWISI TAREHE: 25 MEI HADI 12 JUNE 2015.
![](http://1.bp.blogspot.com/-4M6IMZ9n2Ho/VWxrpeeNctI/AAAAAAAAA5s/N3CDCdO36ro/s640/congress%2B2015.png)
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt. Agnes Kijazi pamoja na ujumbe wa Tanzania akiwemo Bwana Mohamed Ngwali, Mkurugenzi wa TMA – Ofisi ya Zanzibar, wanashiriki mkutano mkuu wa 17 wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) unaofanyika Uswisi, makao makuu ya Shirika hilo kuanzia tarehe 25 Mei hadi 12 Juni...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-s6H8gBDNMEY/VIVjIbUrWrI/AAAAAAAG16A/Rbr5217A81c/s72-c/unnamed%2B(68).jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-jUsys5IIb-Q/VIWWTCotiOI/AAAAAAADRKQ/czUQxGXW8lo/s72-c/uk-met.jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-jUsys5IIb-Q/VIWWTCotiOI/AAAAAAADRKQ/czUQxGXW8lo/s1600/uk-met.jpg)
11 years ago
Michuzi23 Jun
11 years ago
Michuzi25 Apr
10 years ago
VijimamboWARSHA YA MFUMO WA KIMATAIFA WA HUDUMA ZA HALI YA HEWA
11 years ago
Michuzi11 Feb