WARSHA YA WADAU KUHUSU HUDUMA ZITOLEWAZO NA MAMLAKA YA HALI YA HEWA YAFANYIKA JIJINI DAR
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), Dkt. Agnes Kijazi ambaye alikuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa warsha ya wadau kuhusu huduma zitolewazo na Mamlaka ya Hali ya Hewa na Uainishaji wa matakwa ya wadau,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo jijini Dar es Salaam, Machi 24, 2015.Mkurugenzi wa Huduma za Utafiti na Matumizi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), Dkt. Ladislaus Chang'a akitoa ufafanuzi kwenye warsha ya wadau kuhusu huduma zitolewaza na Mamlaka ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboUFUNGUZI WA WARSHA YA WADAU KUHUSU “HUDUMA ZITOLEWAZO NA MAMLAKA YA HALI YA HEWA NA UAINISHAJI WA MAHITAJI YA WADAU”, HOTELI YA BLUE PEARL, DAR ES SALAAM, TANZANIA, TAREHE 24 MACHI, 2015
10 years ago
MichuziMAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...
10 years ago
VijimamboMAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
10 years ago
MichuziWARSHA YA KISAYANSI KUHUSU HUDUMA ZA HALI YA HEWA KUPITIA MODELI YA ‘PRECIS’, KUANZIA TAREHE 29 JUNI HADI 3 JULAI 2015, DAR ES SALAAM, TANZANIA.
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA ARUSHA AAGIZA MAMLAKA ZA HALI YA HEWA KUSINI MWA AFRIKA KUSHIRIKIANA KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO ZA HUDUMA ZA HALI YA HEWA KATIKA KANDA YA SADC
Mkutano huo unafanyika mkoani Arusha. Akifungua mkutano huo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Jowika W. Kasunga alizitaka taasis za hali ya hewa kusini mwa Afrika ikiwemo TMA kushirikiana katika kutatua changamoto zinazoikabili...
11 years ago
MichuziMAMLAKA YA HALI YA HEWA (TMA) YAKUTANA NA WANAHABARI KUTATHIMINI JIJINI DAR LEO
Baada ya kukutana na wanahabari hao katika warsha zaidi ya tatu ikiwemo ile ya lugha itumikayo katika kutoa utabiri wa msimu, TMA imeona ni wakati muafaka sasa kwa Mamlaka kuweza kupata mrejesho ili kuweza kuboresha ushirikiano wake na vyombo vya habari...
10 years ago
VijimamboWARSHA YA MFUMO WA KIMATAIFA WA HUDUMA ZA HALI YA HEWA
5 years ago
MichuziMAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) yatoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa msimu wa kipupwe nchini.
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa wa msimu wa kipupwe nchini, kwa Mwezi Juni hadi Agosti 2020 na kusema kuwa mwaka huu kutakuwa na vipindi vya upepo mkali wa kusi na hali ya ukavu katika maeneo mengi ya nchini.
Pia mamlaka imesema, vipindi vya baridi kali vinatarajiwa kuwepo katika msimu huu katika maeneo ya miinuko ya nyanda za juu kusini magharibi hususan nyakati za usiku na na asubuhi.
Akizungumzia msimu huo,...