Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni ‘kuanika’ silaha Julai 14 Dar

Kampuni zaidi ya 30 zinazotengeneza silaha na vifaa vya kijeshi kutoka ndani na nje ya nchi zitaonyesha bidhaa zao katika Kongamano la Majeshi ya Nchikavu litakalofanyika hivi karibuni nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Simba kuanika silaha zake leo

Kocha wa Simba, Dylan Kerr ataitumia siku ya klabu hiyo kuonyesha wapinzani wake matokeo ya mazoezi ya Lushoto na Zanzibar, ingawa kikubwa zaidi ni kuonyesha wachezaji ambao klabu hiyo itawatumia msimu ujao.

 

10 years ago

Mtanzania

Silaha bandia za watoto marufuku Julai mwaka huu

Na Fredy Azzah, Dodoma
IFIKAPO Julai Mosi mwaka huu endapo mwanao atabainika kuwa na silaha bandia (mwanasesere) atakuwa amefanya kosa la jinai, kwa vile Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi umepiga marufuku uingizwaji na matumizi yake nchini.
Muswada huo uliopitishwa na Bunge jana utaanza kutumika Julai mwaka huu, pamoja na mambo mengine, unalenga kuziba mianya ya kuingiza silaha bandia nchini.
Mbali na hilo, Muswada huo unasema mtu akibainika kuwa ni mlevi...

 

10 years ago

GPL

NEC: UANDIKISHAJI BVR DAR KUANZA JULAI 16-25, PWANI JULAI 7-20

Na Mwandishi -Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura kwa teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) lililoahirishwa katika jiji la Dar es salaam na mkoa wa Pwani hivi karibuni sasa litafanyika kuanzia Julai 7-20 kwa mkoa wa Pwani na Julai 16- 25 kwa jiji la Dar es salaam. Uboreshaji wa Daftari hilo kwa jiji la Dar es salaam na Mkoa wa Pwani uliahirishwa kutokana na kuchelewa kwa...

 

10 years ago

Habarileo

BVR Pwani Julai 7, Dar Julai 16

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Julius MallabaTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ambayo iliahirisha uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) katika Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani hivi karibuni, sasa imesema utafanyika kuanzia Julai 7 hadi 20 kwa Mkoa wa Pwani na Julai 16 hadi Julai 25 kwa Jiji la Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Watu wenye silaha wavamia kituo cha polisi Dar, waua, waiba silaha

>Watu wenye silaha wamevamia kituo cha polisi cha Staki Shari jijini Dar es Salaam ambapo katika tukio hilo, watu saba wameripotiwa kuuawa, huku silaha zilizokuwepo katika kituo hicho zikiibwa.

 

10 years ago

Habarileo

Uandikishaji daftari la kudumu Dar sasa Julai 22

ZOEZI la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura kwa mkoa wa Dar es Salaam limesogezwa mbele hadi Julai 22 mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

UBALOZI WA MAREKANI DAR ES SALAAM: MNADA WA HADHARA JUMAMOSI JULAI 11, 2015

  UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na Ubalozi wa Marekani watauza kwa mnada wa hadhara gari, generator, fanicha za ofisi na nyumbani,  makontena na mashine za gym   tarehe 11 Julai, 2015 Jumamosi saa 3:00 asubuhi. Mnada utafanyika Golden Resort Sinza,  Lion Street.MALI ZITAKAZOUZWA:sofa sets, chest drawer, recliner, dressers, coffee table, book shelve, meza za ofisi/viti, dining table/chairs, carpet, hoover,  vitanda, magodoro, fridges, freezer, cookers, TV set, washer, dryer,...

 

10 years ago

GPL

ASKARI WALIOUAWA, KUPORWA SILAHA PWANI WAAGWA DAR

Mwili wa SCT Francis ukiingizwa katika bwalo la polisi Barabara ya Kilwa kwa ajili ya kuagwa. Mwili wa CPL Michael nao ukipelekwa kwa ajili ya kuagwa. Mke wa marehemu Michael (katikati) akilia kwa uchungu.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani