Silaha bandia za watoto marufuku Julai mwaka huu
Na Fredy Azzah, Dodoma
IFIKAPO Julai Mosi mwaka huu endapo mwanao atabainika kuwa na silaha bandia (mwanasesere) atakuwa amefanya kosa la jinai, kwa vile Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi umepiga marufuku uingizwaji na matumizi yake nchini.
Muswada huo uliopitishwa na Bunge jana utaanza kutumika Julai mwaka huu, pamoja na mambo mengine, unalenga kuziba mianya ya kuingiza silaha bandia nchini.
Mbali na hilo, Muswada huo unasema mtu akibainika kuwa ni mlevi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog07 Apr
TANROADS Singida yatumia zaidi ya sh 5.1 B kutengeneza barabara zake Julai mwaka jana na februari mwaka huu
Mkuu wa mkoa wa Singida na mwenyekiti wa bodi ya barabara, Dk.Parseko Vicent Kone, akifungua kikao cha bodi ya barabara cha 36 kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa VETA mjini Singida. Kulia (aliyekaa) ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan.
Meneja wa wakala wa barabara mkoa wa Singida (TANROADS), Mhandisi Yustaki Kangole, akitoa ufafanuzi juu ya sheria zinazotawala akiba/hifadhi ya barabara kwenye kikao cha 36 cha bodi ya barabara mkoa wa Singida.
Mbunge wa jimbo la...
10 years ago
MichuziMASHINDANO YA KILIMANJARO AMBASSADOR KUFANYIKA JULAI 24 MWAKA HUU
5 years ago
MichuziKANYIGO KUPATIWA MAJISAFI NA SALAMA KUFIKIA JULAI MWAKA HUU .
Na Abdullatif Yunus Michuzi TV.
Serikali kupitia Wizara ya Maji Nchini ipo mbioni kupeleka huduma ya Majisafi katika Vijiji vinne Katani Kanyigo Wilayani Missenyi, Mkoani Kagera ifikapo Julai Mwaka huu.
Hayo yamebainika katika Ziara iliyofanywa na Mkuu wa Wilaya Missenyi wakati akitembelea na kukagua ujenzi wa mradi wa maji safi Kata Kanyigo unaohusisha Vijiji vya Kikukwe, Bugombe, Kigarama na Bweyunge, unaotarajiwa kuhudumia Kaya 2,986 sawa na wakazi 10,986 wenye zaidi ya Shilingi Milioni...
10 years ago
Michuzi23 Jul
FASTJET KUZINDUA SAFARI YA LILONGWE-MALAWI JULAI 27 MWAKA HUU
Kwa mujibu wa Afisa Mahusiano na Masoko wa Fastjet, Lucy...
10 years ago
Dewji Blog22 Jul
Fastjet waja na ‘route ya 5’ kuanza safari ya Malawi, Julai 27 mwaka huu
Afisa Mahusiano na Masoko wa Fastjet Tanzania, Lucy Mbogoro (kulia) akifafanua jambo kwa wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa wandishi wa habari akielezea kampuni hiyo ilivyoweza kusaidia sanaa kwa Tanzania na Afrika. Kushoto kwake ni CEO wa ZIFF, Prof. Martin Mhando.
Na Andrew Chale, modewjiblog
Shirika la ndege la Fastjet limeendelea kupanua wigo wake kwa kuanzisha ‘rout’ zaidi za safari zake ikiwa ni kuunganisha Afrika kuwa moja.
Kwa mujibu wa Afisa Mahusiano na...
10 years ago
Dewji Blog22 Jul
Fastjet waja na ‘rout ya 5’!! kuanza safari ya Malawi, Julai 27 mwaka huu
Afisa Mahusiano na Masoko wa Fastjet, Lucy Mbogoro (kulia) akifafanua jambo kwa wandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa mkutano wa wandishi wa habari akielezea kampuni hiyo ilivyoweza kusaidia sanaa kwa Tanzania na Afrika. Kushoto kwake ni CEO wa ZIFF, Prof. Martin Mhando.
Na Andrew Chale, modewjiblog
Shirika la ndege la Fastjet limeendelea kupanua wigo wake kwa kuanzisha ‘rout’ zaidi za safari zake ikiwa ni kuunganisha Afrika kuwa moja.
Kwa mujibu wa Afisa Mahusiano na Masoko wa...
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Kampuni ‘kuanika’ silaha Julai 14 Dar
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
‘Polisi jamii marufuku kutumia silaha’
KAMISHNA wa Polisi Jamii nchini, Musa Ally Musa, amepiga marufuku Polisi Jamii kutumia silaha za mapanga katika ulinzi badala yake watumie filimbi. Musa alitoa agizo hilo jijini Dar es Salaam...
5 years ago
MichuziTANZANIA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE WA AFRIKA JULAI 31 KILA MWAKA
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiwa na mmoja wa Muasisi wa PAWO Bibi.Tecla Sumbo mara baada ya kufungua mkutano wa waasisi wa Umoja wa Jumuiya za Wanawake katika nchi huru za Afika (PAWO) tawi la Tanzania na Wizara uliolenga kutoa maoni yao katika uboreshaji wa Sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia uliofanyika leo jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza wakati mkutano na waasisi...