Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Polisi jamii marufuku kutumia silaha’

KAMISHNA wa Polisi Jamii nchini, Musa Ally Musa, amepiga marufuku Polisi Jamii kutumia silaha za mapanga katika ulinzi badala yake watumie filimbi. Musa alitoa agizo hilo jijini Dar es Salaam...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KUWACHUKULIA HATUA KALI WATU WANAOJIHUSISHA NA UHALIFU WA KUTUMIA SILAHA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amewataka askari Polisi kote nchini kufanyakazi kwa kuzingatia weledi bila kumuonea mtu yeyote na kuendelea kuwachukulia hatua kali watu wanaojihusisha na uhalifu wa kutumia silaha.

IGP Sirro amesema hayo leo akiwa mkoani Tabora ambapo alizungumza na Polisi Kata waliopo kwenye mkoa huo huku akiwataka kuhakikisha kuwa kila mtu anatimiza wajibu wake hasa tunapoelekea kwenye kipindi cha uchaguzi mkuu sambamba na kuwachukulia hatua wale wasiotaka...

 

10 years ago

Mwananchi

Watu wenye silaha wavamia kituo cha polisi Dar, waua, waiba silaha

>Watu wenye silaha wamevamia kituo cha polisi cha Staki Shari jijini Dar es Salaam ambapo katika tukio hilo, watu saba wameripotiwa kuuawa, huku silaha zilizokuwepo katika kituo hicho zikiibwa.

 

10 years ago

GPL

KITUO CHA POLISI STAKISHARI-UKONGA CHAVAMIWA, POLISI WAUAWA NA KUPORWA SILAHA

WATU wanaodhaniwa kuwa magaidi wamevamia Kituo cha Polisi Stakishari kilichopo Ukonga jijini Dar es Salaam, jana usiku na kuua askari na raia kisha kupora silaha. Kwa mujibu wa taarifa za awali ambazo bado hazijathibitishwa na Jeshi la Polisi ni kwamba watu hao walifika kituoni hapo wakiwa katika pikipiki wakidai kwamba walikuwa wamembeba mtu aliyepata ajali wakihitaji msaada wa polisi kabla ya kuwabadilikia ghafla na kuanza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni kwa wizi wa kutumia silaha

JESHI la Polisi Mkoa wa Tanga linawashikilia watu nane kwa tuhuma za unyang’anyi wa sh 978,600 kwa kutumia silaha katika Kijiji cha Jasini mpakani mwa Kenya na Tanzania. Akithibitisha kutokea...

 

10 years ago

BBCSwahili

Pakistan:Walimu kutumia silaha kujilinda

Walimu nchini Pakistani wamepewa mafunzo ya kutumia Silaha

 

10 years ago

Mtanzania

Silaha bandia za watoto marufuku Julai mwaka huu

Na Fredy Azzah, Dodoma
IFIKAPO Julai Mosi mwaka huu endapo mwanao atabainika kuwa na silaha bandia (mwanasesere) atakuwa amefanya kosa la jinai, kwa vile Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi umepiga marufuku uingizwaji na matumizi yake nchini.
Muswada huo uliopitishwa na Bunge jana utaanza kutumika Julai mwaka huu, pamoja na mambo mengine, unalenga kuziba mianya ya kuingiza silaha bandia nchini.
Mbali na hilo, Muswada huo unasema mtu akibainika kuwa ni mlevi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani