Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC iongeze muda zaidi Dar, au uandikishaji uboreshwe

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) juzi ilitangaza kuongeza siku nne kwa ajili ya kutoa nafasi zaidi kwa wakazi wa mkoa wa Dar es Salaam kujiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura baada ya kuona mwitikio mkubwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Muda wa uandikishaji BVR Dar waongezwa

Tume ya Uchaguzi (NEC) leo imetangaza kuongeza siku nne zaidi za uandikishaji wa wapigakura kwa kutumia teknolojia ya BVR baada ya idadi kubwa ya wakazi wa Dar es Salaam kuitikia wito wa zoezi hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

NEC yaahirisha uandikishaji wapigakura Dar

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeahirisha kwa muda uandikishaji wa wapigakura katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani hadi hapo itakapotangazwa.

 

5 years ago

Michuzi

NEC yaongeza siku za uandikishaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura Dar

Na Chalila Kubuda, Globu ya Jamii .

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza muda wa uandikishaji katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura kwa mkoa ya Dar es Salaam.

Muda uliongezwa kwa katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura ni siku tatu ambapo zoezi hilo litaitimishwa Februari 23, 2020.

Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Uchanguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt Wilson Charles amesema kuwa kusogezwa kwa...

 

10 years ago

GPL

NEC: UANDIKISHAJI BVR DAR KUANZA JULAI 16-25, PWANI JULAI 7-20

Na Mwandishi -Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura kwa teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) lililoahirishwa katika jiji la Dar es salaam na mkoa wa Pwani hivi karibuni sasa litafanyika kuanzia Julai 7-20 kwa mkoa wa Pwani na Julai 16- 25 kwa jiji la Dar es salaam. Uboreshaji wa Daftari hilo kwa jiji la Dar es salaam na Mkoa wa Pwani uliahirishwa kutokana na kuchelewa kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) YAONGEZA MUDA WA KUJIANDIKISHA JIJINI DAR ES SALAAM

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa inaongeza muda wa siku nne tu wa kuandikisha wapiga kura kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam. Hii inamaanisha kuwa zoezi hilo ambalo lilikuwa linaisha ijumaa ya kesho julai 31, litaendelea hadi jumanne agosti 4Akiongea na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema kuwa hataweza kuongeza muda wa zaidi ya siku nne kwa kuwa ratiba zitaingiliana.Aidha, Jaji Mstaafu Lubuva amesema mpaka sasa watu...

 

10 years ago

StarTV

Makambako waomba muda wa uandikishaji kuongezwa.

Na Mercy Sekabogo

Njombe.

 

Ikiwa ni siku chache tangu Serikali kuzinduliwa mpango wa uandikishaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mfumo wa Biometric Voter Registration (BVR), wakazi wa Hamashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe wameiomba Serikali kuongeza muda wa kujiandikisha.

 

Kauli hiyo inakuja baada ya kuwepo kwa dalili za watu kukosa nafasi hiyo kutokana na idadi kubwa ya watu wanaolala vituoni wakisubiri foleni asubuhi na kukosa fursa hiyo.

 

Unadikishaji wa Daftari la...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

NEC yaweka msimamo uandikishaji


NA RABIA BAKARITUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haitoongeza muda wa kuandikisha Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo mpya wa BVR, licha ya wanasiasa wengi kupendekeza.Aidha imetoa ruksa kwa vyama vyote vya siasa vinavyohitaji kuweka mawakala kufanya hivyo wakati wa uandikishaji wa daftari hilo.Mapendekezo ya  kuongeza muda kutoka siku 14 hadi mwezi au miezi miwili,  yalitolewa juzi na viongozi wa juu wa vyama vya siasa, walioshiriki mkutano kati yao na NEC kwa ajili  ya kujadili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani